Tafuta

.

Tafuta Mabesti wako wa zamani hapa Utawapata kwenye mtandao huu.

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Ningekufa kwa ajili ya mwanamkeπŸ‘‡βœ”

Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!

Nikaondoka na funzo langu……

🚢🚢🚢

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Ningekufa kwa ajili ya mwanamke).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Jinsi unavyoweza kudumisha Amani na Upendo Kwa kujiunga na Kampeni ya Amani na Upendo

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

nn.gif

.