.

Kichekesho%20Kipya 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔ Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨
👉SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

👉 Nguvu ya umoja na ushirikiano👇✔

IMG_20180108_172904.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 24 Jul 2016 23:58. [Legal & Authority]


Nguvu ya umoja na ushirikiano

Siku moja kundi la watu 500 walikua wamehudhuria Semina. Mara msemaji mkuu wa semina hiyo akaanza kumpa kila mtu puto (balloon), na kuwaambia kila mmoja aandike jina lake juu la puto alilopewa. Kisha maputo yote yakakusanywa na kuwekwa kwenye chumba kimoja.Kisha watu wote wakaambiwa waingie kwenye chumba hicho na kila mmoja atafute puto lenye jina lake ndani ya dakika 5. Kila mmoja akaanza kuhangaika huku na kule akitafuta puto lake bila mafanikio, na chumba chote kikawa na fujo tupu.Baada ya dakika 5 kwisha, hakuna hata mmoja aliyekua amefanikiwa kupata puto lake. Ndipo msemaji akawaambia basi kila mmoja achukue puto lolote tu na ampe mtu ambaye jina lake limeandikwa kwenye puto hilo. Ndani ya dakika chache kila mmoja akawa ameshapata puto lake.Ndipo msemaji mkuu akasema: "Hii inatokea kwenye maisha yetu kila siku. Kila mtu anahangaika kutafuta furaha yake huku na kule, bila kujua ilipo. Furaha yako ipo kwenye Furaha za watu wengine. Wape furaha watu wanaokuzunguka;nawe utapata Furaha yako.Usipende kujitenga… Maisha ni watu…. Bila watu hakuna furaha….hakuna Maisha!

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Kinachoimarisha uwezo na ujuzi wa mtoto.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Nguvu ya umoja na ushirikiano).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Nini maoni yako kuhusu, Nguvu ya umoja na ushirikiano? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
Kichekesho%20Kipya 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔ Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨
👉SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

ACKYSHINE.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Vile unavyotoa ndivyo unavyopokea. Yule anayetoa sana ndiye ansyepokea sana. Kutoa ni kuhifadhi."

karibu-sn.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS