.

Kichekesho%20Kipya Ndugu zako wanakutafuta hapa Wapo kwenye mtandao na wao
πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

πŸ‘‰ Neno la kutia MoyoπŸ‘‡βœ”

IMG_20180109_191904.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 25 Jul 2016 00:29. [Legal & Authority]


Neno la kutia Moyo

NAPENDA Nikutie MOYO,Ukiwa DUNIANI USIHUZUNIKE na usiwe MNYONGE hata kama una MATATIZO kiasi gani,Mungu yuko pamoja nawe,
Na unatakiwa kuzingatia haya yafuatayo:
1-Usijilaumu kwa lolote lililokutokea
2-Usihofu kuhusu hali uliyonayo sasa,iwe kiuchumi, kiafya, kwani Mungu anakuwazia mema
3-Usijilinganishe na mtu yeyote duniani
4-Usifikirie sana yaliyopita ktk maisha yako
5-Usijidharau
6-Kumbuka MUNGU ndiye mpangaji wa kila jambo kwa mja wake.
7-Usiwaze sana kuhusu kesho waza kuhusu leo.
8-ukikosa ulichokikusudia,jua Mungu amekuandalia jambo jema kuliko ulilolikosa.
silaha ya ushindi wako ni uvumilivu.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Wakubwa nisaidieni!!.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Neno la kutia Moyo).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Nini maoni yako kuhusu, Neno la kutia Moyo? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

IMG_20180108_171846.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Kujaribu kufanya jambo kubwa la kipekee ni kushinda hata kama halijafanikiwa."

Marafiki-wa-enzi.GIF

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS