Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅 Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

ss.gif NAMNA YA KUMTAMBUA MWANAMKE MPUMBAVU NA MWANAMKE MWEREVU

images-9.jpeg
Melkisedeck Leon Shine

💥"Siri kuu ya kuishinda hasira yako ni kusubiri kabla ya kutenda unapokuwa na hasira."🔥

👏Baada ya kusoma kuhusu👇;

IMG_20170703_130936.jpg
💡Leo nimekutayarishia💫 makala kuhusu🌠 NAMNA YA KUMTAMBUA MWANAMKE MPUMBAVU NA MWANAMKE MWEREVU👇.

💥NAMNA YA KUMTAMBUA MWANAMKE MPUMBAVU NA MWANAMKE MWEREVU👇

NAMNA YA KUMTAMBUA MWANAMKE MPUMBAVU…..

MWANAMKE MPUMBAVU

1.Anamkomoa mumewe
2.Analala mapema kabla ya mumewe
3.Anachelewa kuamka kabla ya mumewe
4.Mbishi, anahic kuonewa mda wote
5.Anadhani kumnyima mumewe unyumba ni
kumkomoa
6.Mmekaa sebuleni anahadithia tu
Mafanikio ya familia za wa2
Wakati ye ndo kigezo cha kero.
7.Hataki kuzungumzia mshara wake
8.We unajenga family ye anajenga
Kwao
9.Mkikaa 2 anaanza umbea kuponda
Ndugu na majirani
10.Haridhiki (mwanaume unatoa jasho
ila ye anakudiscourage wakati
Ye akishuka kwenye kochi anakaa
Kwenye jamvi na baadaye anelekea
saloon kupiga umbea kuhusu mama
joyce kafumaniwa gesti.
11.Nyumbani housegirl hapumziki.
12.Anajali ajira yake hataki
kufuatiliwa mambo yake.
13..Anakera sana, cwezi kuacha kazi
yangu hata km anaumwa, kajikata
kucha halafu anadai apelekwe Agha
Khan au India.
NOTE: akikutana na mwanaume
kichwa ngumu anamrudisha kwao
ameshazalishwa watoto 3, anaenda
kwa mwingine anaongezewa watoto
2, anazinguliwa anapigwa toto lingine
mmoja mtaani, unakuta kazaa na kila
familia mtaani baadaye anaishi ghetto
au kwao.

MWANAMKE MWEREVU.

1.Unaamka yeye kashaamka na
kusema "baby amka maji ya kuoga
yapo bafuni" (mwanamke adimu sana)
2.Unajiandaa kwenda kazini khaa, nguo
zishapigwa pasi (jamani hiyo kazi
kafanya saa ngapi? unajikuta unaenda
kazini upo kwny daladala kimoyo
moyo unamwambia "I love u honey"
3.Unarudi jioni unakuta anakuvua
soksi acha 2 hujui hata anazifua saa
ngapi maana huwa hujui anazifua saa
ngapi?
4.Umejipumzisha kwny kochi au kitandani mara
kakukalia
Mgongoni anakufanyia masej
Mgongoni, khaa alijuaje unataka
Ufanyiwe masej? Unaishia kusema
Thanks baby.
5.Kila anachotaka kufanya
kujiendeleza anakuambia na unaweza
kumpa mtaji mana ni mkweli (ni
baraka kwny familia)
6.Anapenda ndugu zako (cyo mama
mkwe akija anasimamisha pua juu
km kitimoto)
7.Anakupa moyo kwny wakati
mgumu, mf: umefukuzwa kazi
anakushauri (baby hayo ni maisha
tu, ucjal utafanikiwa km vp 2cmamie ule mradi
wangu mpk
uajiriwe) khaa jamani yupo km huyu
fb? Upareni? Uchagani? Usukumani je?
8.Ukirudi nyumbani unakuta
anamfundisha mtoto wako maadili ya
kimungu (wow heri 2zae 2 wa pili)
9.Anakufariji…Baby usiogope ni
mapito ya dunia, jikaze mume
wangu, nipo upande wako), heheeee
hata ukinuna unabembelezwa.
10.Mwenye kushukuru na
suprises, hawezi kukusahau, (baby hii
zawadi kwa ajili yako,umenisaidia sana
mume wangu, u change my
life, "baby leo birthday yako, khaa
unaona keki mezani"),kuna mke km
huyo?
11.Ana uhakika mimba yako ("baby
nina suprise, kumbe mwezi uliopita
ulinipa toto, nina mimba yako (cyo ooh
khaaa 2mefanya mapenzi juzi 2
umenipa dragon mwingine)
NB. Mwanamke km huyu ni
blessing, kila jioni unaona toto zako
zimekaa kwenye kochi yaani vitoto
vizuri miguu mifupi hata vikikaa
kwenye kochi miguu hazifiki kwny
sakafu vinaangalia cartoons.
Hehehe ni mtazamo tu…

👊Usikubali kupitwa na Jarida la kilimo bora cha vitunguu maji na vitunguu twaumu (swaumu). Linatoa elimu ya kulima vitunguu . 👉Bofya hapa Kuchukua👈

images-20.jpeg

📝Nitumie Maoni💭 yako Kuhusu NAMNA YA KUMTAMBUA MWANAMKE MPUMBAVU NA MWANAMKE MWEREVU hapa👇

Jina
Mahali
Mfano Mkoa, wilaya n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako
images-7.jpeg

🐼 Endelea kusoma kuhusu;-🙉

.

images-16.jpeg
C.gif "Karibu tena katika blog yako nzuri uipendayo ya Ackyshine isiyochosha na yenye mambo mapya kila siku. Usipitwe na Blog hii kila siku"

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔ Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Kabichi Linafundisha kulima kabichi 👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

📷 Picha Bomba👇

P.gif
V4.gif

.

📓 Ujasiriamali👇

U.gif

.

IMG_20170703_130508.jpg
C.gif "Nakukumbusha kuwa katika blog hii unaweza kusoma Vichekesho vipya kila wakati unapitembelea. Usipitwe na Vichekesho vipya vya kila siku."

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Hoho Kilimo cha hoho kimeelezewa .
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

.

images-14.jpeg

Habari msomaji wangu…?
"Unakumbushwa kuangalia Videos kali katika Blog yako ya Ackyshine. Usipitwe na video mpya za kila siku hapa."

images-13.jpeg

Jina langu ni Melkisedeck Leon Shine Mwendeshaji wa blog hii.

Usisite kuniandikia maoni,mapendekezo au maswali hapa

Jina
Mahali ulipo
Mfano Mkoa, Wilaya n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako

KUHUSU BLOG HII | MAWASILIANO | ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES