Tafuta

.

πŸ‘‰ Misingi 6 ya kuwa na Amani na Furaha katika MaishaπŸ‘‡βœ”

HII NI MISINGI 6 YA KUWA AMANI NA FURAHA KATIKA MAISHA:

1. Usimchukie yeyote hata kama atakukosea sana.

2. Ishi maisha ya kawaida hata kama upo juu kimaisha.

3.Tarajia baraka hata kama magumu yanakusonga.

4.Toa hata kama wewe umenyimwa.

5.Onyesha tabasamu hata kama moyo unavuja damu.

6.Usiache kuwaombea wengine hata kama yako hayajajibiwa.

Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa Rehema.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Misingi 6 ya kuwa na Amani na Furaha katika Maisha).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Tafuta ndugu zako mliopotezana hapa Utawakuta kwenye mtandao

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

msaada.gif

.