Misingi 6 ya kuwa na Amani na Furaha katika Maisha

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Misingi 6 ya kuwa na Amani na Furaha katika Maisha

HII NI MISINGI 6 YA KUWA AMANI NA FURAHA KATIKA MAISHA:

1. Usimchukie yeyote hata kama atakukosea sana.

2. Ishi maisha ya kawaida hata kama upo juu kimaisha.

3.Tarajia baraka hata kama magumu yanakusonga.

4.Toa hata kama wewe umenyimwa.

5.Onyesha tabasamu hata kama moyo unavuja damu.

6.Usiache kuwaombea wengine hata kama yako hayajajibiwa.

Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa Rehema.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Misingi 6 ya kuwa na Amani na Furaha katika Maisha. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
picha-kali.png
afya-mapishi-na-lishe.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;

vichekesho-bomba-vya-siku.png
picha-kali.png
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png