Mambo 6 ambayo ni siri ya mwanamke na sio rahisi kukwambia

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Naomba majibu! Ungekua wewe ungefanjaje?, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Mambo 6 ambayo ni siri ya mwanamke na sio rahisi kukwambia.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Wosia mzuri wa baba kwa mwanae.

Mambo 6 ambayo ni siri ya mwanamke na sio rahisi kukwambia

By, Melkisedeck Shine.

1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani

Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli.

2. Anakulinganisha na mpenzi wa zamani

Mwanamke mara nyingi anakulinganisha na mpenzi wake wa zamani japokuwa hawezi kukwambia waziwazi. Wakati mwingine tabia hii huwafanya wanawake kuwatamani wapenzi wa zamani na hata kurudiana nao endapo watakosa mtu aliye bora kuliko mpenzi wake wa zamani.

3. Kasoro zako

Mwanamke kamwe hawezi kukwambia kasoro zako. Wanawake wanajua kumfichiaa mpenzi wao mambo wasiyotaka yajulikane kwa wengine na kwa mpenzi wake. Wanajua njia za kiujanja za kutumia ili kufichua siri zako zote. Mwanamke hawezi kukwambia kasoro zako kwa kuogopa kukuumiza.

4. Mapungufu yake

Mwanamke hawezi kukwambia mapungufu yake labda kwa kuhofia kusheshwa thamani. Wanawake ni wasiri sana kwa mapungufu yao. Wanajua vyema hofu zinazomuandamana, vitu vinavyowakosesha usingizi na mambo yanayowalemea maishani japo sio rahisi kuonyesha. Kwa nje anaweza akaonekana yuko vizuri na hana tatizo kumbe ndani ana matatizo au mapungufu. Anaweza kufanya yote kufunika upungufu wake!

5. Huwa unampagawisha mpaka anakosa la kusema

Hili halisemi kabisa mwanawake kwa sababu anaona haya kutumia maneno ya wazi kueleza raha unayompa. Maneno ya kuzuzua ni himaya ya wanaume, lakini wakati mwingine wapo wasioweza kuficha.

6. Haumridhishi katika tendo la ndoa

Wanawake wengi hawapendi kusema kama hawaridhiki Kwenye tendo la ndoa. Wanawake wanahitaji kuandaliwa vilivyo kwa dakika 10, 20 ama nusu saa. Mara nyingine wanaume huwahi kabla mwanamke hajawa tayari na hivyo kushindwa kuridhika lakini hawezi kusema.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Mambo 6 ambayo ni siri ya mwanamke na sio rahisi kukwambia. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Ishara 10 za mwanamke aliyekuzimia na anayekupanda
Ishara hizi zinaweza zikakusaidia kumgundua msichana anayekupenda, wasichana wanatofautiana ila wengi wao wana-share ishara tofauti. Mwanamke anayekupenda hatakosa kati ya hizi.. soma zaidi
a.gif Jinsi ya kujua kama mwanamke anakupenda kimapenzi kabla hajakwambia
Mwanamke anayekupenda lakini hawezi kukwa mbia huwa anafanya mambo kukupima kama na wewe unampenda. Mfano wa mambo hayo ni kujifanya anaumwa na kuangalia wewe kiasi gani unamjali na kiasi gani utahangaika kwa ajili yake… soma zaidi
a.gif Jinsi ya kujua kama mwanamke anakupenda kweli kwa dhati
Mwanamke anayekupenda atakuwa tayari kujitoa muhanga kwa ajili yako. Mwanamke anayekupenda atakua tayari kufanya chochote kile kwa ajili yako kitu ambacho hawezi kufanya kwa ajili ya mtu mwingine yoyote… soma zaidi
a.gif Jinsi ya kumjua mwanamke ambaye hajatulia a.k.a kicheche
Dalili ya kwanza ya mwanamke kicheche mi kwamba huwa huwa mara nyingi hawataki mambo ya mahusiano na mambo ya kupendana, wanataka siku zote wawe huru hata mtu yeyote mwenye uwezo zaidi ya aliyenaye akitokea, iwe rahisi kwake kujihusisha naye. Utasikia akisema tuwe Marafiki tuu… soma zaidi
a.gif Maneno makuu ya kimapenzi yenye thamani kwa mwanamke
KATIKA uhusiano wa kimapenzi yapo maneno mawili yenye thamani kubwa na yenye kubeba ujumbe mzito wa kimapenzi kwa mpenzi umpendaye kwa dhati, maneno hayo ni, 'nakupenda' na 'nitakuoa'… soma zaidi
a.gif Unaweza kushare maneno haya kuntu kwa vijana wote ambao hawajaoa na walio kwenye ndoa
1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali mwanangu usimuache huyo!.. soma zaidi
a.gif Biblia inasema nini kuhusu mume mwema
Mume mwema ni yule anayeheshimu nafasi ya Mungu katika maisha yake, anayemcha Mungu na kuepukana na uovu wa kila aina. Anatambua kwamba Mungu ndiye anayepaswa kuongoza maisha yake na si vinginevyo… soma zaidi
a.gif Kisa cha kusisimua: Funzo kwa mabinti
Kijana maskini na mwenye maisha duni alimpenda msichana mmoja
Baada ya kutumia muda mwingi kumfikiria msichana huyo,
Siku moja akaamua kumwita na kumwambia ukweli ya kwamba amempenda na angehitaji kumuoa… soma zaidi
a.gif Usiyoyajua kuhusu wanawake!!
😏"A lot about Women "
1. KUHUSU TAMAA ZAO.
-Mwanamke yeyote anaweza kukutamani kimapenzi isipokuwa Mama yako.👫
2. KUHUSU HULKA ZAO.
-Wanawake wote huonesha upendo wao waziwazi isipokuwa wale waliotendwa kabla.🙆🏼.. soma zaidi

Makala hii kuhusu, Mambo 6 ambayo ni siri ya mwanamke na sio rahisi kukwambia, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Kuwa na msimamo katika mahusiano, endelea kusoma...

• Sifa za mke mwema, endelea kusoma...

• USIKOSE: Hadithi inayogusa, endelea kusoma...

• Dalili za mwanamke anayeelekea kukukubali baada ya kurusha voko a.k.a kutongoza, endelea kusoma...

• Ishara 10 za mwanamke aliyekuzimia na anayekupanda, endelea kusoma...

• Jinsi ya kujua kama mwanamke anakupenda kimapenzi kabla hajakwambia, endelea kusoma...

• Jinsi ya kujua kama mwanamke anakupenda kweli kwa dhati, endelea kusoma...

• Jinsi ya kumjua mwanamke ambaye hajatulia a.k.a kicheche, endelea kusoma...

• Mambo 5 ambayo wanawake wanatamani mwanaume ajue wakati wa kufanya mapenzi, endelea kusoma...

• Mbinu 9 za kuwavutia na kuwateka wanawake kimapenzi, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Mambo 6 ambayo ni siri ya mwanamke na sio rahisi kukwambia, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

UJUMBE-WA-MSAMAHA-KWA-NDUGU.JPG
KUMSHUKURU-MPENZI-4559KJ438.JPG