.

Kichekesho%20Kipya Kijitabu cha Kilimo Bora cha Kabichi kinafundisha kulima kabichi ๐Ÿ‘‰Soma zaidi hapaKizuri

๐Ÿ‘‰ Mambo 7 ambayo mwanamme hapaswi kumfanyia mke wake๐Ÿ‘‡โœ”

Mambo 7 ambayo mwanaume apaswi kumfanyia mke wake..

1. Usimpige.
2. Usimtukane na kumshushia heshima.
3. Usimfanye ajihisi hapendwi na anamkosi.
4. Usimbake.
5. Usimsaliti na kujionyesha kabisa kwamba una saliti.
6. Msikilize pale anapokua na stress, mpe muda wako, mkumbatie na mpe maneno ya faraja.
7. Mpe zawadi, hata kama ni ndogo kiasi gani kwake ni alama tosha.

mwandishi.gif

Usisahau kushare posti Kwenye Mitandao ya Kijamii

[NZURI HII๐Ÿ‘‰] Je binadamu wote ni sawa kiimani?

[NZURI HII๐Ÿ‘‰] FAHAMU NGUVU ZAKO ZA KUZALIWA

[NZURI HII๐Ÿ‘‰] Kutoa Mimba

Ndugu.gif

.

.

.

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

Melkisedeck%20Shine.gif