Kujichua kwa wanawake

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Ushauri kwa mwanamke anayetafuta Mwanaume ili upate Mume sahihi, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Kujichua kwa wanawake.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Kujichua kwa wanawake.

Kujichua kwa wanawake

By, Melkisedeck Shine.

HASARA NA FAIDA ZA MWANAMKE
ALIYEZOEA KUPIGA PUNYETO.
Kujichua au kujichezea (kupiga puli au punyeto)
sio kwa wanaume tu bali hata wanawake
wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako
huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa
huwa wanajisaidia…
Wakati mwingine mtu
anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige
moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi
unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige
moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama
umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi
hayupo karibu.
Leo tutaongelea Hasara na faida za kujichua
au kujichezea kwa mwanamke.
HASARA ZA MWANAMKE
ALIYEZOEA KUJICHUA
Kujichua kwa mwanamke kiasili hakuna
madhara yeyote, lakini kama unatumia au
unajingizia
vitu au vifaa Ukeni (Sanamu) zinaweza
kukusababishia maaambukizo, "kutifua" misuli ya
uke na kusababisha uke wako
kulegea, nyama kujitokeza kwa nje.
Ukizoea kutumia Sanamu
kujichua utashindwa kusikia utamu kila
utakapofanya ngono
na mwanaume kwa vile sanamu ni ngumu
japokuwa watu
watakudanganya kuwa ziko na texture kama
uume asilia lakini sio kweli, Mungu aliumba
uume kwa ajili ya kuingia ukeni na sio sanamu.
Mazoea hayo yatakufanya kihisia udhani kuwa
mwanaume hana
uwezo wa kukuridhisha kingono na hivyo
kumuomba akufanye
kwa kutumia sanamu badala ya uume wake
kitu ambacho nitakiita "madhara ya kujichua
kwa kutumia sanamu".
FAIDA ZA KUJICHUA:
1)Kuongezeka kwa hamu ya kufanya mapenzi
kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
2)Kujua "vipele vyako viliko".
3)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya
uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.
4)Kuepuka mimba na
maambukizo ya virusi vya
UKIMWI na magonjwa mengine.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Kujichua kwa wanawake. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Kujichua kwa wanawake, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Ujumbe Kwa mabinti waliookoka, endelea kusoma...

• Kuangalia picha za ngono, endelea kusoma...

• Ujumbe kwa wakina dada, endelea kusoma...

• Punyeto kwa wanaume, endelea kusoma...

• Soma hii! Mchagua nazi……, endelea kusoma...

• Usiwe Muongo kwenye mahusiano, endelea kusoma...

• Ushauri kwa wanaume!!, endelea kusoma...

• Unamkabidhi Moyo kibaka wa mapenzi unategemea nini!!, endelea kusoma...

• Ni ushauri tuu kwako wewe, endelea kusoma...

• Upendo wa kweli hauna sababu!, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Kujichua kwa wanawake, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

KADI-SALAMU-MCHANA-JION.JPG
rafiki.gif