KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 90 HAYA AMAMBO YALIKUPITA

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Tabia ambazo zinamfanya mwanamke asiolewe, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 90 HAYA AMAMBO YALIKUPITA.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; FAHAMU NGUVU ZAKO ZA KUZALIWA.

KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 90 HAYA AMAMBO YALIKUPITA

By, Melkisedeck Shine.

KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 90 HAYA AMAMBO YALIKUPITA:
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin
5. Kupamba kadi na pamba sebuleni
6. Ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
7. Kunyolewa kwa mkasi
8. Kufunga pesa kwenye leso au pindo la kanga
9. Wavulana kuvaa nguo ya ndani aina moja nchi nzima (VIP), usiombe ikakatika ukakuta imebana kifua.
10. Ku rewind kanda kwa peni
11. Nchi nzima Kuangalia Movie ya Commando John, Double Impact, Rambo na Bruce Lee..
12. Watoto Wa Mtaa Mzima Kufahamiana sababu ya kucheza Wote Jioni Kombolela na Kibaba..
13. Kuunguzana na tunda ya Ubuyu baada ya kulisugua chini
14. Kukata ndala, ati ni kifutio
15. Kunyolewa msalaba shuleni kisa nywele ndefu
16. Kuweka Vibox box kwenye Shati la shule Mgongoni..draft
17. Kuweka Shati la Shule "Blue" eti liwe maridadi.
18. Ubitozi Ulikuwa ni Kusimamisha Kola Ya Shati.
19. Ukiandika Barua kwa Umpendae lazima uchore moyo na Mkuki na lazima upulizie Pafyumu ya "YU".
20. Hata kama Mlikuwa mmegombana January lakini Mtu anakuambia "Utaipata Siku Ya Kufunga Shule".

Je wewe unakumbuka nini??

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 90 HAYA AMAMBO YALIKUPITA. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 90 HAYA AMAMBO YALIKUPITA, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

β€’ Kuwa na msimamo katika mahusiano, endelea kusoma...

β€’ Unajifunza nini hapa?, endelea kusoma...

β€’ KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 90 HAYA AMAMBO YALIKUPITA, endelea kusoma...

β€’ Kuangalia picha za ngono, endelea kusoma...

β€’ Haya ndio maisha ya ndoa, endelea kusoma...

β€’ Nguvu ya umoja na ushirikiano, endelea kusoma...

β€’ FAHAMU NGUVU ZAKO ZA KUZALIWA, endelea kusoma...

β€’ Simulizi ya mapenzi, endelea kusoma...

β€’ USIKOSE: Hadithi inayogusa, endelea kusoma...

β€’ Kama wewe ni mwalimu soma hii, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 90 HAYA AMAMBO YALIKUPITA, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.