👉 Jifunze kuwajali wazazi kwa kusoma kisa hiki👇✔
Lameck alikuwa akiendesha gari kwa kasi sana alipokutana na akina Mama watatu ambao walinyoosha mkono kumuomba lift, ingawa alikua na haraka lakini aliwaonea huruma na kusimama, sehemu waliyokuwa ilikuwa ni kichakani na kwakuwa alikuwa peke yake hakuona sababu ya kuwanyima lift.
“Samahani Baba, tunaomba utusaidie tunaelekea, Usangi kwenye msiba sasa tumechelea na magari hamna…” Mama mmoja aliomba. Lameck aliwaambia waingie kwani hata yeye alikuwa anaelekea huko huko.” Wale akina Mama waliingia kwenye gari aliwasalimia na bila hata kuulizwa walianza kujielezea.
“Tunaenda kwenye msiba, kuna Mama mmoja kafariki huko..” Mama mmoja alianza kuongea na mwingine aliendelea… “ahsante sana mwanangu, ni vijana wachache sana wenye roho nzuri kama wewe, wenzako wametupita kama si watu, magari mazuri kama haya yenu hata hayasimamagi. Huko tunakoenda tu huyo Mama wa watu kaumwa kateseka lakini mtoto wake mwenyewe wa kumzaa hata hakuja kumuangalia, majirani ndiyo walimchangia kupelekwa KCMC…”
“Yaani watoto wasiku hizi mpaka mtu unajuta kuzaa, yule Mama alivyohangaika kumsomesha yule mtoto, alikua anatembea na mfuko wa viazi kwenda kuuza sokoni, anafanya vibarua mtoto mwenyewe hata akili alikua hana kila siku kufeli anarudia madarasa lakini Mama wawatu alivumilia….” Mama mwingine aliongea.
“Tena basi alitelekezwa na mume wake…” Aliongea Mama mwingine “…Alikua mume basi, alizaa na msukuma mmoja aliyekuja kufanya vibarua akamkimbia na kumuacha na mtoto mdogo, Mama wa watu kalea mwenyewe mtoto huyo huyo mmoja ila kajumba kalekale ka nmatope ndiyo Mama wawatu kafia wakati mwanae yuko mjini anakula maisha…!”
“Mama wawatu kila siku analia hata aletewe wajukuu tu awaone…”
“Nakuambia, kila siku anasema mimi sitaki hata pesa zake aniletee tu wajukuu zangu na mimi nifurahie kuzaaa..”
“Kijana yuko mjini wala hana habari! Hawa watoto jamani! Heri Mama wa watu alivyokufa akampumzike, ameteseka sana, nasikia walishamtoa jicho lapili alikuwa haoni kabisa…”
“Usiniambie..”
“Kweli eee, mimi nilienda, majirani walikuwa wamemchangia KCMC wakamtoa jicho linguine, Kansa sio mchezo…”
“Sema kuishi na watu vizuri ni jambo jema sana maana asingekuwa na majirani angekua ashakufa muda mrefu… mtoto wa kumzaa anaweza asikusaidie lakini wa jirani akakusaidia..”
Kule mbele Lameck alikuwa akibubujikwa na machozi, yeye ndiye kijana walikuwa wakimzungumzia na Mama yake ndiyo alikuwa maefariki, tangu alipoenda mjini miaka 15 iliyopita alikuwa ahajakanyaga tena nyumbani, alioa bila hata kumuambia Mama yake na hata alipojua aligoma kabisa kumpeleka mkewe na wanae nyumbani.
Maneno ya wale akina Mama yalimuumiza sana hasa walipozungumzia namna Mama yake alivyohangaika naye wakati akiwa mdogo, picha ya Mama yake akilima vibarua, namna alivyokuwa akitokana jasho, picha za mama yake akinyeshewa na mvua, picha za mama yake akatika ofisi za mwalimu mkuu wakati akimtete asifukuzwae shule, picha za Mama yake akimuwashia kibatari usiku ili asome vyote vilimjia akilini.
Alijiona hanathamani kwani hata baada ya kusikia kifo cha Mama yake alishindwa kufanya kitu amabcho Mama yake alikuwa akimuomba kila mara alipompigia simu. Hakutaka kuileta familia yake, hakutaka mke wake na wanae kuona sehemu alipozaliwa kuona hali ya nyumbani kwao hivyo aliamua kwenda mwenyewe mara moja kumaliza mazishi na kugeuza.
Aliumia zaidi aliposikia kuwa kumbe Mama yake alikuwa na Kansa na alitolewa macho yote, hakua na habari hizo kani ni zaidi ya miaka miwili alikuwa hajawasiliana na Mama yake. Mama yake baada ya kumuona hajibu na hamsaidii chochote alichoka kumpigia simu hivyo hata hakujua kuhusu ugonjwa wake.
Machozi yalianza kumbubujika kama maji, alijihisi kama kizunguzugu na kila alipojaribu kulicontrol gari alishindwa, gari liliacha njia na kuserereka mlimani. Alipoteza fahamu na alipozinduka masaa sita baadaye alijikuta amelala hospitalini, aliambiwa amepata ajali, ndipo alipokumbuka ajali ilivyotokea.
Aliulizia kuhusu kina Mama aliokuwa amewabeba akaambiwa walitoka salama bila hata mchubuko, alimshukuru Mungu kwa hilo, hakuwa akisikia maumivu kokote lakini alipojaribu kunyanyuka alishindwa hata kunyanyua kidole. Lameck alikuwa amevunjika uti wa mgongo karibu na shingo hivyo alipooza kuanzia mabegani kushuka chini.
Alipelekwa hospitali kubwa lakini ilishindikana, walimpeleka mpaka nnje ya nchi lakini bado ilishindikana. Ni miaka mitatu sasa bado hajaweza kunyanyuka amelalaa akiwa hawezi kufanya kitu chochote kile. Mke wake ameshaolewa na mwanaume mwingine na wanae wanakuja mara moja moja kumsailimia katika nyumba anayoishi ambayo mkewe ameajiri kijana kwajaili ya kumhudumia.
Lameck amebaki mpweke marafiki wote wamemtenga, hata wanae wanapokuja kumsalimia humuangalia kama kituko flani, huishia tu kumuonea huruma, hana mtu wakuongea naye, Amelia mpaka amechoka, anatamani kufa lakjini hawezi hata kunyanyua mkono kuchukua sumu ajiue. Kila siku nikulia na kumuomba mama yake msamaha.
***MWISHO
Katika kisa hiki nataka ujifunze kitu kimoja kwamba mbali na kuwajali wazazi wako, basi hakikisha na mumeo au mkeo anawajali wazazi wake. Hata kama huwapendi kwa namna gani, wanakunyanyasa na kukudhalilisha, hakikisha mumeo au mkeo anawajali kwani ndiyo wazazi wake.
Laana ya yeye kuwatelekeza wazazi wake kwa sababu yoyote ile haitaishia kwake tu, itakugusa wewe na watoto wako. Hembu leo muambie awapigie simu wazazi wake kama wapo hai na kama Mungu amesha wachukua hembu mkumbueshe kuwatolea sadaka, hata alishe yatima mmoja kwaajili ya wazazi wake.
🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jifunze kuwajali wazazi kwa kusoma kisa hiki).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔
• HADITHI: Maisha ya ndoa. 24 Jul 2016 17:58, (mahusiano: mapenzi familia). HADITHI: Maisha ya ndoa
• Baadhi ya mazingira ambayo yakimtokea mwanamke hatojali kitu chochote kwenye maamuzi yake. 28 Aug 2016 03:51, (mahusiano: mapenzi familia). Baadhi ya mazingira ambayo yakimtokea mwanamke hatojali kitu chochote kwenye maamuzi yake
• Mambo ya kuzingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa. 28 Sep 2016 01:46, (mahusiano: mapenzi familia). Mambo ya kuzingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa
• Mambo 7 ambayo mwanamme hapaswi kumfanyia mke wake. 07 Feb 2017 05:40, (mahusiano: mapenzi familia). Mambo 7 ambayo mwanamme hapaswi kumfanyia mke wake
• Wosia wa mama kwa binti anayeolewa. 13 Mar 2016 01:56, (mahusiano: mapenzi familia). Wosia wa mama kwa binti anayeolewa
• Mawaidha kwa Bwana Harusi mtarajiwa. 28 Oct 2016 04:25, (mahusiano: mapenzi familia). Mawaidha kwa Bwana Harusi mtarajiwa
• Jinsi ya kupata Mpenzi wa Kweli. 27 Mar 2016 07:24, (mahusiano: mapenzi familia). Jinsi ya kupata Mpenzi wa Kweli
• HADITH: Hadithi ya kusisimua. 26 Nov 2016 19:49, (mahusiano: mapenzi familia). HADITH: Hadithi ya kusisimua
• Kisa cha kusisimua: Funzo kwa mabinti. 06 Mar 2017 05:46, (mahusiano: mapenzi familia). Kisa cha kusisimua: Funzo kwa mabinti
• Mchumba anayefaa kufunga naye ndoa. 09 Apr 2017 03:04, (mahusiano: mapenzi familia). Mchumba anayefaa kufunga naye ndoa
• Ningekufa kwa ajili ya mwanamke. 31 Jan 2017 01:14, (mahusiano: mapenzi familia). Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
• Madhara ya zinaa kisayansi. 22 Jul 2016 21:26, (mahusiano: mapenzi familia). Madhara ya zinaa kisayansi
• Neno la kutia Moyo. 25 Jul 2016 00:29, (mahusiano: mapenzi familia). Neno la kutia Moyo
• Babe anatakiwa awe mshamba kidogo kama hivi… 05 Aug 2016 08:07, (mahusiano: mapenzi familia). Babe anatakiwa awe mshamba kidogo kama hivi..
• Soma hapa wewe kijana wa kiume. 12 Oct 2016 06:19, (mahusiano: mapenzi familia). Soma hapa wewe kijana wa kiume
• Ushauri kwa usiku wa leo. 27 Jul 2016 00:10, (mahusiano: mapenzi familia). Ushauri kwa usiku wa leo
• Huyu ndiye mama, malkia wa upendo. 03 Feb 2016 04:33, (mahusiano: mapenzi familia). Huyu ndiye mama, malkia wa upendo
• Jinsi ya kuamsha mahaba na mapenzi katika mahusiano. 09 Mar 2017 07:51, (mahusiano: mapenzi familia). Jinsi ya kuamsha mahaba na mapenzi katika mahusiano
• Kujichua kwa wanawake. 27 Mar 2016 02:19, (mahusiano: mapenzi familia). Kujichua kwa wanawake
• Hadithi ya kusisimua. 24 Jul 2016 17:54, (mahusiano: mapenzi familia). Hadithi ya kusisimua
• Mwanamke akipenda amependa kweli. 06 Aug 2016 08:48, (mahusiano: mapenzi familia). Mwanamke akipenda amependa kweli
• Mambo 6 ambayo ni siri ya mwanamke na sio rahisi kukwambia. 09 Mar 2017 07:45, (mahusiano: mapenzi familia). Mambo 6 ambayo ni siri ya mwanamke na sio rahisi kukwambia
• KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 90 HAYA AMAMBO YALIKUPITA. 25 Jul 2016 00:17, (mahusiano: mapenzi familia). KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 90 HAYA AMAMBO YALIKUPITA
• Hii ndio sababu kwa nini nawapenda wanawake. 01 Feb 2016 09:39, (mahusiano: mapenzi familia). Hii ndio sababu kwa nini nawapenda wanawake
• Mchumba anayefaa kufunga naye ndoa. 09 Apr 2017 03:04, (mahusiano: mapenzi familia). Mchumba anayefaa kufunga naye ndoa
• Tabia za mwanamke anayefaa kuoa. 10 Mar 2015 14:21, (mahusiano: mapenzi familia). Tabia za mwanamke anayefaa kuoa
• Njia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke. 11 Mar 2017 09:24, (mahusiano: mapenzi familia). Njia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke
• Jinsi ya kuamsha mahaba na mapenzi katika mahusiano. 09 Mar 2017 07:51, (mahusiano: mapenzi familia). Jinsi ya kuamsha mahaba na mapenzi katika mahusiano
• Maneno makuu ya kimapenzi yenye thamani kwa mwanamke. 30 Oct 2015 01:50, (mahusiano: mapenzi familia). Maneno makuu ya kimapenzi yenye thamani kwa mwanamke
• Sifa za mke mwema. 10 Mar 2015 14:30, (mahusiano: mapenzi familia). Sifa za mke mwema
• Wosia mzuri wa baba kwa mwanae. 01 Mar 2017 08:09, (mahusiano: mapenzi familia). Wosia mzuri wa baba kwa mwanae
• Mbinu za kumfanya mwanamke akukubali. 11 Mar 2017 09:18, (mahusiano: mapenzi familia). Mbinu za kumfanya mwanamke akukubali
• Tabia ambazo zinamfanya mwanamke asiolewe. 25 Oct 2016 03:25, (mahusiano: mapenzi familia). Tabia ambazo zinamfanya mwanamke asiolewe
• SIRI YA HERUFI YA MWANZO YA JINA LAKO. 24 Jul 2016 18:02, (mahusiano: mapenzi familia). SIRI YA HERUFI YA MWANZO YA JINA LAKO
• Utani lakini umeelewa!!!. 03 Feb 2016 04:22, (mahusiano: mapenzi familia). Utani lakini umeelewa!!!
• Sababu ya Wasichana wengi kutoolewa ni hizi. 28 Sep 2016 01:42, (mahusiano: mapenzi familia). Sababu ya Wasichana wengi kutoolewa ni hizi
• Dondoo ya leo!. 13 Mar 2016 20:13, (mahusiano: mapenzi familia). Dondoo ya leo!
• Wanaume tushirikiane ktk Sala dhidi ya wanawake. 13 Mar 2016 01:53, (mahusiano: mapenzi familia). Wanaume tushirikiane ktk Sala dhidi ya wanawake
• Biblia inasema nini kuhusu mume mwema. 10 Mar 2015 14:54, (mahusiano: mapenzi familia). Biblia inasema nini kuhusu mume mwema
• SIFA ZA MUME MWEMA. 10 Mar 2015 14:45, (mahusiano: mapenzi familia). SIFA ZA MUME MWEMA
• Stori ya kweli hii. 17 Feb 2016 02:36, (mahusiano: mapenzi familia). Stori ya kweli hii
• Je, ni kweli au si kweli kuwa Wadada waliosoma sana hawana sifa ya kuwa mke. 01 Feb 2017 01:27, (mahusiano: mapenzi familia). Je, ni kweli au si kweli kuwa Wadada waliosoma sana hawana sifa ya kuwa mke
• Sifa 15 za kijana ambaye hajakomaa kwa ajili ya ndoa. 25 Oct 2016 03:36, (mahusiano: mapenzi familia). Sifa 15 za kijana ambaye hajakomaa kwa ajili ya ndoa
• Mambo yakuzingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa. 01 Feb 2016 09:10, (mahusiano: mapenzi familia). Mambo yakuzingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa
• Mchumba anayefaa kufunga naye ndoa. 09 Apr 2017 03:04, (mahusiano: mapenzi familia). Mchumba anayefaa kufunga naye ndoa
• Ningekufa kwa ajili ya mwanamke. 31 Jan 2017 01:14, (mahusiano: mapenzi familia). Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
• Dada zangu huu ni mwaka wa mabadiliko. 13 Mar 2016 20:08, (mahusiano: mapenzi familia). Dada zangu huu ni mwaka wa mabadiliko
• Kila mtu dunia hii anahistoria yake. 05 Sep 2016 06:44, (mahusiano: mapenzi familia). Kila mtu dunia hii anahistoria yake
• Neno la kutia Moyo. 25 Jul 2016 00:29, (mahusiano: mapenzi familia). Neno la kutia Moyo
• Kama mwanamke una tabia hiz utazeekea nyumbani. 16 Nov 2016 01:12, (mahusiano: mapenzi familia). Kama mwanamke una tabia hiz utazeekea nyumbani
• Stori ya lily. 25 Mar 2015 03:48, (mahusiano: mapenzi familia). Stori ya lily
• Ishara 10 za mwanamke aliyekuzimia na anayekupanda. 09 Mar 2017 07:31, (mahusiano: mapenzi familia). Ishara 10 za mwanamke aliyekuzimia na anayekupanda
• Hadithi ya kusisimua, jifunze kitu hapa. 22 Jul 2016 21:54, (mahusiano: mapenzi familia). Hadithi ya kusisimua, jifunze kitu hapa
• Njia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke. 11 Mar 2017 09:24, (mahusiano: mapenzi familia). Njia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke
• Unajifunza nini hapa?. 07 Sep 2016 05:49, (mahusiano: mapenzi familia). Unajifunza nini hapa?
• Sasa umehitimu elimu ya Chuo Kikuu. 18 Sep 2016 02:49, (mahusiano: mapenzi familia). Sasa umehitimu elimu ya Chuo Kikuu
• Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi 💓. 01 Feb 2017 01:18, (mahusiano: mapenzi familia). Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi 💓
• UMETOKA KAZINI UMEKUTA PANYA 6 ndani. 21 Sep 2016 00:39, (mahusiano: mapenzi familia). UMETOKA KAZINI UMEKUTA PANYA 6 ndani
• Ni ushauri tuu kwako wewe. 13 Mar 2016 20:48, (mahusiano: mapenzi familia). Ni ushauri tuu kwako wewe
• Soma Hii itakusaidia sana. 07 Sep 2016 05:54, (mahusiano: mapenzi familia). Soma Hii itakusaidia sana
• Nguvu ya umoja na ushirikiano. 24 Jul 2016 23:58, (mahusiano: mapenzi familia). Nguvu ya umoja na ushirikiano
• Kisa cha kusisimua: Funzo kwa mabinti. 06 Mar 2017 05:46, (mahusiano: mapenzi familia). Kisa cha kusisimua: Funzo kwa mabinti
• Mwanamke akipenda amependa kweli. 06 Aug 2016 08:48, (mahusiano: mapenzi familia). Mwanamke akipenda amependa kweli
• Jinsi ya kuamsha mahaba na mapenzi katika mahusiano. 09 Mar 2017 07:51, (mahusiano: mapenzi familia). Jinsi ya kuamsha mahaba na mapenzi katika mahusiano