.

๐Ÿ‘‰ Ishara za uhakika za mwanamke au msichana aliyekuzimia๐Ÿ‘‡โœ”

Je unapendwa kweli?

Zifuatazo ni ishara za uhakika za mwanamke au msichana anayekupenda

1 Anakuangalia kwa macho makubwa au maangavu

2 Anachezea nywele zake

3 Anashika na kun'gata mdomo wake

4 Akikaa au akisimama Mwili wake unakuelekea wewe

5 Anapenda kuwa na wewe mara nyingi

6 Anakushika bila kukusudia

7 Anacheka hata kama vitu au jambo halichekeshi sana

8 Anakujadili akiwa na marafiki zake

misaadas.gif

Usisahau kushare posti Kwenye Mitandao ya Kijamii

[NZURI HII๐Ÿ‘‰] Haya ndio maisha ya ndoa

[NZURI HII๐Ÿ‘‰] Ushauri wang katika maisha

mwandishi.gif

.

.

.

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

Melkisedeck%20Shine.gif