Ishara za uhakika za mwanamke/msichana aliyekuzimia

afya-mapishi-na-lishe.png

Ishara za uhakika za mwanamke/msichana aliyekuzimia

Je unapendwa kweli?

Zifuatazo ni ishara za uhakika za mwanamke au msichana anayekupenda

1 Anakuangalia kwa macho makubwa au maangavu

2 Anachezea nywele zake

3 Anashika na kun'gata mdomo wake

4 Akikaa au akisimama Mwili wake unakuelekea wewe

5 Anapenda kuwa na wewe mara nyingi

6 Anakushika bila kukusudia

7 Anacheka hata kama vitu au jambo halichekeshi sana

8 Anakujadili akiwa na marafiki zake

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Ishara za uhakika za mwanamke/msichana aliyekuzimia. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
afya-mapishi-na-lishe.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;

vichekesho-bomba-vya-siku.png
picha-kali.png
familia-mapenzi-na-mahusiano.png