.

wadogo.gif

πŸ‘‰ Ishara za uhakika za mchumba mwenye mapenzi ya kweli na wewe na anayekupenda kweliπŸ‘‡βœ”

MELKISEDECK-SHINE-LEON.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 28 Sep 2015 02:02. [Legal & Authority]


Ishara za uhakika za mchumba mwenye mapenzi ya kweli na wewe na anayekupenda kweli

Je mchumba wako anakupenda kweli?

Zifuatazo ni ishara za mchumba wa kweli

1. Anakuheshimu na anakufanyia mambo yote kwa heshima

2. Mda wote uko kichwani kwake/anakuwaza wewe

3. Anakusikiliza na anafanya unachokisema

4. Anaweza kukushika bila kuogopa watu. mfano, mkono mkiwa sehemu zenye watu wengi

5. Anakujali

6. Anataka uipende na ushirikiane na familia na ndugu zake

7. Anaweza kuomba msamaha

8. Akiwa anaongea badala ya kusema nita…. anasema tuta…. mfano, tutafanya hivi badala ya nitafanya hivi

9. Anakuweka kwenye mipango yake ya baadae

10. Anasema 'SASA'. (Mfano SASA tufanyeje?) Anatumia neno sasa kukupa nafasi ya kutoa mawazo yako

Usisahau kushare posti Kwenye Mitandao ya Kijamii

[NZURI HIIπŸ‘‰] Mtafute ndugu yako mliopotezana

tafuta-ndugu.gif

.

.

.

Melkisedeck%20Shine.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

.

Wasiliana nami;

Kwa maoni, ushauri, nyongeza na hata salamu

Jina lako
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu
Mahali unapotoka
Email
Ujumbe wako
Uwe Huru. Ujumbe huu ni siri yangu na wewe.

ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES | CONSULT ME


images-12.jpeg

"Usimpe mtu ushauri ambao unahisi ataukubali sana, mpe mtu ushauri wenye manufaa kwake japo ni mgumu kuukubali.."