Kichekesho%20Kipya Usikose ๐Ÿ“•Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE๐Ÿ‘ง๐Ÿ‘—๐Ÿ‘  Kinamwelezea๐Ÿ”ŽMwanamke๐Ÿ” kinagaubagaโœ”๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

ss.gif Huyu ndiye mama, malkia wa upendoโœ…

๐Ÿ‘Baada ya kusoma kuhusu๐Ÿ‘‡;

IMG_20170703_130916.jpg
๐Ÿ’กLeo nimekutayarishia๐Ÿ’ซ makala kuhusu๐ŸŒ  Huyu ndiye mama, malkia wa upendo๐Ÿ‘‡.

๐Ÿ’ฅHuyu ndiye mama, malkia wa upendo๐Ÿ‘‡

๐ŸŒพ๐ŸƒMwanadamu ulizaliwa katika hisia za kulia ukiwa kichanga mwenye uchafu Asili ya upendo ipo kwa mama ulipofumbua macho ulikutana na tabasamu la mama.

๐ŸŒพ๐ŸƒMama alitabasamu wakati unalia mama alijifanya uchizi ili kukufurahisha ghafla ungetokea kuwaona mtoto anapocheza na mama yake ungelidhani wote ni watoto kwa mapenzi ya mama.

๐ŸŒพ๐ŸƒMwanadamu tambua unaweza umizwa na wengi lakini upendo wa mama ukakufanya utulie na hakuna mapenzi ya kweli kwa mtu kama mapenzi ya mama.

๐ŸŒพ๐ŸƒMama juu yako baya likikukuta mama hulia mama yupo tayari kudanganya ulimwengu kukukomboa katika matatizo yako.

๐ŸŒพ๐ŸƒAlificha chakula wakati ukicheza udogoni na uliporejea ukamkuta amelala lakini aliacha maagizo utakuta wapo wa kukupashia yote mapenzi.

๐ŸŒพ๐ŸƒMama alipoamka mwanzo alikuulizia ameshakula? Ima umekula atafurahi ima hujala atapita majumba ya watu kukuulizia hata kama atatoka miguu peku yote mapenzi tu.

๐ŸŒพ๐ŸƒUlipoumwa usiku halali atataabika kwa kukaa na wewe ukiwa mikononi mwake huku akilalila ukuta pembeni mwa kitanda huku akitarajia pakikucha shingo limuume kwa kukesha na wewe yote mapenzi hayo.

๐ŸŒพ๐ŸƒMtu yoyote akikupenda watu watamshangaa kwanini anakupenda sana? Lakini mapenzi ya mama hayaulizwi kwanini anampenda yote ni nguvu za hisia za upendo toka kwa mama.

๐ŸŒพ๐ŸƒUmekuwa sasa huenda hayupo tena mama amekuacha katika dunia ya mihangaiko na wala tambua hakuna tena kiumbe kitachokupenda kama alivokuwa mama.

๐ŸŒพ๐ŸƒNa ukiwa umebarikiwa upendo ulio hai kwako namaanisha uhai wa mama basi huenda amechokaa na anatembea kama mtoto sasa rudisha upendo wako kwa kumfanya nae afurahi japo hutoweza kulipiza yote.

๐ŸŒพ๐ŸƒMama utamkumbuka utapomkosa utatamani kuita mama na hata ukipata wa kuwaita upendo hautatoka moyoni.

๐ŸŒพ๐ŸƒWakati ulipotoka alitabasamu basi na wewe hakikisha wakati anakukimbia duniani mfanye atabasamu hata kama atatokwa na machozi .

๐ŸŒพ๐ŸƒMtumie ujumbe huu Mama na kama hunae tena muombe kwa MOLA upatapo ujumbe huu watumie wenzako huenda wakafufua hisia kwa Mama.

๐ŸŒพ๐ŸƒHUYU NDIO MAMA MALIKIA WA UPENDO.

๐ŸŒด๐ŸชKISIWA CHA IMANI

๐Ÿ‘ŠUsikubali kupitwa na Jarida la Kilimo Bora cha Matikiti. Linafundisha ulimaji wa matikiti . ๐Ÿ‘‰Bofya hapa Kuchukua๐Ÿ‘ˆ

IMG_20170703_130916.jpg

๐Ÿ“Nini Maoni๐Ÿ’ญ yako Kuhusu Huyu ndiye mama, malkia wa upendo? Niandikie hapa๐Ÿ‘‡

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
IMG_20170703_130519.jpg

๐Ÿผ Endelea kusoma kuhusu;-๐Ÿ™‰

.

.

SHINE-MELKISEDECK.jpg

"Mpenzi msomaji kama ilivyokawaida kila siku ninakuandalia posti mpya nzuri za kukuelimisha na kukujuza. Nazidi kukualika kila siku kutembelea blog hii ili kupata makala mpya inayokufaa.."

.

.

images-16.jpeg

"Karibu katika blog Maarufu kwa post nzuri za kuvutia kusoma na zisizichosha. Ni wewe tuu kutembelea"

.

.

IMG_20170703_130405.jpg

"Karibu sana katika Blog hii. Ninakuhakikishia kusoma posti mpya nzuri kila siku kwa hiyo endelea kutembelea Blog hii kila siku.."

.

.

images-14.jpeg

"Sio kila kizuri ni chema, lakini kila chema ni kizuri. Uzuri wa chema ni wema wake.,"

.

๐Ÿ“ Misemo ya AckySHINE๐Ÿ‘‡

MA.gif
Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Bamia Linafafanua Kilimo cha bamia ๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

Habari msomaji wangu…?

images-21.jpeg
Melkisedeck Leon Shine

"Siri kuu ya kuishinda hasira yako ni kusubiri kabla ya kutenda unapokuwa na hasira."

Jina langu ni Melkisedeck Leon Shine Mwendeshaji wa blog hii.

IMG_20170703_130519.jpg

"Mpenzi msomaji, Blog ya Ackyshine ipo kwa ajili yako wewe kutembelea kila siku kwa kuwa inakuwezesha kupata maambo mapya kila siku. Ni wewe tuu kuitembelea mara kwa mara."

Usisite kuniandikia maoni,mapendekezo au maswali hapa kuhusu Blog hii kwa ujumla

Jina
Mahali ulipo
Mfano Mkoa, Wilaya n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako

images-7.jpeg

"Mpenzi msomaji kama ilivyokawaida kila siku ninakuandalia posti mpya nzuri za kukuelimisha na kukujuza. Nazidi kukualika kila siku kutembelea blog hii ili kupata makala mpya inayokufaa.."

KUHUSU BLOG HII | MAWASILIANO | ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES