HUU NI UKICHAA WA MAPENZI
π΅Kushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe.
π΅ Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu.
π΅ Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa.
π΅ Kutafuta mke mwema kanisani wakati we unaenda kanisani wakati wa maombi ya Christmas tu.
π΅ Kusema wanawake wote sawa.
π΅ Kuendelea kuchagua wanaume wakati unajua waoaji siku hizi wachache.
π΅ Kuishi na mpenzi wako kabla ya ndoa, unamfulia, unampikia na unampa penzi wakati unajua hujulikani kwao, ukiachwa unatafuta ushauri mitandaoni.
π΅Kusema umeokoka lakini unazini na mchumba kama kawaida kwa kisingizio kwamba soon mtakuwa mke na mume!
π΅Kuogopa kuongozana na msichana au mvulana eti mtaingia majaribuni, unajua kutamani tu ni uzinzi?
π΅ Kufikiri kwamba utampata mtu mwenye sifa mia nane unazozitaka labda umuumbe mwenyewe!
π΅Kujifanya unapendwa wakati moyoni unajua wazi mtu kakuchoka, na amekwambia kabisa anatafuta mtu mwingine!
π΅ Kumhonga mwanaume ili akuoe!
π΅ Kudhani kwamba kutoolewa ni laana, hii ni bangi mbaya!
π΅ Kumtongoza mchumba au mke wa rafiki yako!
π΅ Kuoa wakati huna kazi /chanzo cha kipato!
π΅ Kufikiri eti wanaume wa kiafrika wanaweza kufanya mambo ya kwenye tamthiliya za kifilipino.
π΅ Kumsomesha mtu ili uje umuoe!
π΅ Kumng'ang'ania mtu asiyekupenda, utazimia ukialikwa harusini!
π΅Kuwaeleza mashosti zako 'utam' anaokupa mtu wako!
π΅ Kumwambia bebi wako anunue gari wakati amepanga chumba kimoja……..
Nimeipaste kama ilivyo kama imekugusa Nivumilie
πππUsisahau kushare posti hii kuhusu (Huu ndio ukichaa wa mapenzi).π Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπ―β
β€ Makala za sasa za Familia, Mapenzi na Mahusianoπ

Post preview:
Close preview