Haya majaribu mengine kwenye mapenzi ni magumu, ungekua wewe ingekuaje?

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Ishara za uhakika za mchumba mwenye mapenzi ya kweli na wewe na anayekupenda kweli, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Haya majaribu mengine kwenye mapenzi ni magumu, ungekua wewe ingekuaje?.

Endelea kefurahia makala nzuri kila siku unapotembelea tovuti hii.

Haya majaribu mengine kwenye mapenzi ni magumu, ungekua wewe ingekuaje?

By, Melkisedeck Shine.

BAADA YA KUCHUNIANA KWA
MUDA MREFU
MPENZI WA KIKE ANAAMUA
KUMPIGIA MSELA
WAKE SIMU.
Simu inaita kwa mara kwanza hadi
inakatika
bila kupokelewa. Manzi hakati
tamaa, anapiga
tena na baada ya ngrii ngrii kama
sita, jamaa
ndo anapokea simu.
Hata baada ya kupokea, jamaa
haongei neno
hata la HALOO. Manzi inabidi
alianzishe.
MANZI: Hey Frank, mambo.
LI-FRANK: Poa.
MANZI: Mbona hupokei simu
jamani.
LI-FRANK: Hii imejipokea, au?
MANZI: Hee yaishe basi. Mbona
kimya sana
siku hizi.
LI-FRANK: Unataka nimpigie nani
makelele.
MANZI: Mbona unanijibu hîvyo
Frankie.
LI-FRANK: Kukujibuje.
MANZI: Hivyo kifupi na majibu ya
chooni.
LI-FRANK: Unataka nikujibuje sasa
kama jibu la
swali lako ni hilo.
MANZI: Kwa hiyo hilo ndo jibu la
swali langu.
LI-FRANK: Ndo màana yake. Kama
unataka
majibu marefu na yenye maelezo,
nenda
kapime UKIMWI kisha ombea uwe
nao. Hapo
utapata majibu uyatakayo na
maelezo mengi
tu.
Manzi anakaa kimya kama dakika
1 hivi.
Anashusha pumzi ndefu ya
kuchoka au kukata
tamaa tuseme.
MANZI: Hivi Frank nimekukosea
nini?
LI-FRANK: Kunipigia simu.
MANZI: (huku kama anataka kulia)
Jamaniii.
LI-FRANK: Nyo nyo nyooo. Msyuuu.
Manzi anasikika anavuta vikamasi
ila hakati
simu.
LI-FRANK: Unakunywa supu.
MANZI: (Huku akiwa na sauti ya
kilio). Hivi
Frank kweli umebadilika hivi?
LI-FRANK: Kwa hiyo unanitukana.
Nimekuwa
Zombie mimi, au mzimu.
Unanitukana Marry, si
ndio eeh.
MANZI: Hapana si hivyo.
LI-FRANK: Ila.
MANZI: Basi nisamehe.
LI-FRANK: Umepiga simu ili iweje.
MANZI: Leo ni siku yako ya
kuzaliwa Frank.
LI-FRANK: Kwa hiyo.
MANZI: Happy Birthday.
LI-FRANK: Kingine.
MANZI: Nakupenda Frank.
LI-FRANK: Umemaliza?
MANZI: (Akiwa kakata tamaa juu
ya Frank).
Nimekumiss pia, naomba urudi
uwe nami.
LI-FRANK: Umemaliza?
MANZI: Ndio.
LI-FRANK: Haya kata simu.
MANZI: Frank please. Usinifanyie
hivyo jamani.
LI-FRANK: Sibadili neno, kata
simu.
MANZI: Ok. Aaah! Poa, asante
Frank.
Simu inakatwa.
Baada ya dakika kumi, simu ya
Manzi inaita.
Kucheki, ni Frank. Hata sekunde haiishi
inapokelewa.
FRANK: Umekasirika?
MANZI: Hapana, ila nimeumia.
FRANK: Chungulia dirishani.
Manzi ananyanyuka na kufungua
mapazia ya
dirisha laké. Uso kwa uso na
tabasamu la Frank
pale dirishani.
FRANK: Naamini utadumu na mimi
maishani
mwangumwote. Kama umeweza
kuvumilîa haya
madogo, na kuficha hisia zako
kuwa
hujakasirika, naamin utavumilia
na makubwa
na kuficha ya ndani. I miss you
too, Marry. Ni
wewe pekee uliyenitakia siku
yangu ya
kuzaliwa. Ukiwatoa dada na mama
yangu,
wewendiye mwanamke pekee
nitakae kuelewa.
Unajua Marry alikuwaje?
Nisikumalizie uhondo.
Jaribu na wewe kufata njia ya LI-
FRANK uone
kama Manzi wako atakuwaje.
TEHE.
Angalizo
USIJARIBU HIYO,
KIBONGOBONGO HATA KAMA
UNATANIA UTAPIGWA CHINI MAZIMA.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Haya majaribu mengine kwenye mapenzi ni magumu, ungekua wewe ingekuaje?. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Haya majaribu mengine kwenye mapenzi ni magumu, ungekua wewe ingekuaje?, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Ukipenda Boga, penda na ua lake, endelea kusoma...

• Ujumbe mzito kwako kijana, endelea kusoma...

• Mbinu za kumfanya mwanamke akukubali, endelea kusoma...

• Hadithi ya kusisimua, jifunze kitu hapa, endelea kusoma...

• MARA YA KWANZA KUNUNUA SALAMA CONDOM, endelea kusoma...

• Madhara ya zinaa kisayansi, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupata Mpenzi wa Kweli, endelea kusoma...

• Kujichua kwa wanawake, endelea kusoma...

• Punyeto kwa wanaume, endelea kusoma...

• Soma hii! Mchagua nazi……, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Haya majaribu mengine kwenye mapenzi ni magumu, ungekua wewe ingekuaje?, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

A KUHUSU WANAWAKE, soma zaidi...
A Kujichua kwa wanawake, soma zaidi...
A HADITHI YA MFALME ALIYEKUWA NA MBWA WAKALI KUMI, soma zaidi...
A Wanawake wavumilivu jamani, soma zaidi...
A Tatizo la nguvu za kiume na chanzo chake, soma zaidi...
A Ushauri kwa vijana wenye miaka 22 nakuendelea, soma zaidi...
A Jifunze kitu kupitia kisa hiki cha mume na mke, soma zaidi...

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.