Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅 Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

ss.gif FURSA ZA NDOA NA UMRI WA WANAWAKE

images-10.jpeg
Melkisedeck Leon Shine

💥"Maisha ya Binadamu ni ya kujifunza na kujielewesha mambo mapya kila wakati. Katika blog hii unaweza kusoma na kujifunza mambo mapya kila wakati."🔥

👏Baada ya kusoma kuhusu👇;

18010559_1256919237760740_2925276740254304995_n.jpg
💡Leo nimekutayarishia💫 makala kuhusu🌠 FURSA ZA NDOA NA UMRI WA WANAWAKE👇.

💥FURSA ZA NDOA NA UMRI WA WANAWAKE👇

Poleni Sana madada wa zama hizi wenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea. Mliochezea fursa.

1. Ulivyokuwa una miaka18 mpaka 22 walikuja waposaji ukasema bado unasoma. Au Wazazi wako walikwambia huwezi kuolewa bado unasoma na hujapata msingi wa maisha. Ulisahau kama ambavyo walivyosahau kuwa maisha anapanga Allah na rizki haina mahusiano na elimu. Mkasahau kuwa unaweza ukaolewa na masomo yakaendelea.

Pole Sana Dada yetu.

2. Kweli ukaendelea na masomo lakini ulivyofika form four au six ulifeli mtihani. Au ulifaulu lakini sio kwa kiwango ambacho ulitarajia ukalazimika urudie mtihani au usomee kitu ambacho hukukitaka. Au ukafika chuo kabisa lakini ukafeli. Au ukafanikiwa kumaliza chuo. Kwakuwa ni binti unapendeza na ndoa ilikataliwa walikuja wachumba wasio rasmi (maboy friend). Na ulikuwakubalia maskini. Wakachill sana mkachat sana na mkatoka out. Kumbe walikuwa wanakupotezea muda tu.

Poleni Sana Dada zetu.

3. Ukafika chuo kikuu ukaanzisha mahusiano na kijana mkawa na ndoto za ndoa. Na wakaja watu wengine kuposa. Ukajibu una mtu wako. Tena kwa mbwembwe ukasema una mpenda sana (mahaba niue). Ukabaki kila siku unabadilisha profile yako kutilia mkazo kuwa umezama kimahaba. Ukasahau kuwa uchumba ni mwanamume kuja nyumbani na akakubaliwa. Kumbe alikutamani tu moyoni ulikuwa haumo ndio maana hakuona haja ya kuleta posa.

Poleni Sana Dada zetu.

4. Uliwakatalia wengi wenye sifa nzuri za kukuoa kwasababu yake. Una maliza chuo ukiwa na miaka 27 au 28. Wale wote waliokuja kutaka kukuoa washaoa. Matokeo yake unapoteza imani na wanaume wote. Hali ya kuwa kosa ni lako.

Pole sana Dada yetu.

5. Walikuja wenye kukuposa ukasema hawana hadhi kama yako. Unataka msomi mwenzio. Au awe na mali. Ukasahau kuwa mwanaume mwenye mafanikio huwa nyuma yake kuna mwanamke makini sana. Na hukutaka umakini huo ukitaka uzikute tu hizo mali.

Pole Sana Dada yetu.

6. Upo kazini mwaka wa tatu hajaja mchumba. Una miaka 30. Wote Wanaokuja wanataka wakate matamanio yao ya kimwili tu. Na ukikumbuka ulitoa mimba kadhaa wakati unasoma kwa kuwa hukutaka mimba hiyo. Itakuharibia malengo yako ya kielemu.

Pole sana Dada yetu.

7. Walikuja watu wakitaka kukuoa ndoa ya uke wenza ukasema hutaki kusikia upuuzi huo. Ni bora usiolewe lakini kuolewa mitala ni nuksi Kwako. Unataka mume wa peke yako. Kuolewa Mitala ni mambo ya kizamani ukasahau kuwa hata bibi yako mzaa babu yako alikuwa ni mke wa nne kama si watano wa babu yako.

Jambo ambalo ulishindwa kulifahamu Dada yetu, ni kuwa huu ulimwengu waoaji ni wachache sana. Wengi ni mafukara sana, wengi ni wazinzi sana sio waoaji, wako mashoga sio waoaji, Wapo walioathirika sio waoaji, Wapo ambao ni wagonjwa wasio weza kuhimimili ndoa………….. Na waolewaji mko wengi Sana.

Maskini Dada yetu ulishindwa kufahamu kuwa ulimwengu wa Leo Waume ni kushare kama sio kwa njia ya Halali basi itakuwa kwa njia ya haramu.

Pole sana Dada yetu.

8. Sasa Leo umri umeenda huna kazi hata pesa ya kununua mahitaji ya kike huna. Wachumba uliokuwa unawaona wa nini Leo unajiuliza utawapata vipi. Masomo Umemaliza kazi hakuna. Ndoa za wake wengi ulizozikataa Leo unazitamani lakini hakuna hata anaekuuliza hali.

Umeamua ujiachie mitandaoni labda kutapatikana mchumba. Kila ajae anataka akuchezee tu.

Au kazi unayo nzuri lakini hakuna mume wa ndoto zako wote wajao wanaitaka mali yako tu. Sasa unaamua ujitafutie mtoto wa Zinaa kwa hoja kuwa una mali zako. Maskini Dada pole sana. Maamuzi ya mtu yalipoteza muelekeo wa maisha yako.

Umebaki umejiinamia hujui Unafanyaje pole sana Dada yetu. Ulisahau kuwa ujana ni maji ya moto. Lakini ujana wa mwanamke ni maji ya moto yaliyomo kwenye chumba cha barafu. Au mlisahau usichana ni biashara ya nyanya.

Wale wote ambao uliona washamba kwa kukubali ndoa mapema wamo ndani ya Ndoa zao. Wanaitwa mama mwenye watoto wanaofahamika baba zao. Maisha yanawaendea. Na wako vizuri tu kimaisha.

Pole sana dada yetu

👊Usikubali kupitwa na 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅. Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10. 👉Bofya hapa Kuchukua👈

so.gifAcha usumbufu...😁😁😁

FURAHA-SHINE.jpg

📝Nitumie Maoni💭 yako Kuhusu FURSA ZA NDOA NA UMRI WA WANAWAKE hapa👇

Jina
Mahali
Mfano Mkoa, wilaya n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako
HAPPY-MOMENTS.jpg

🐼 Endelea kusoma kuhusu;-🙉

.

images-7.jpeg
C.gif "Huwezi kupata maendeleo kwa kusitasita na kuogopaogopa. Hata kobe anayesonga mbele ni yule anayetoa kichwa chake kwenye gamba/nyumba yake."

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Kabichi Linafundisha kulima kabichi 👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE👧👗👠 Kinamwelezea🔎Mwanamke🔍 kinagaubaga✔👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

📓 Ujasiriamali👇

U.gif

.

images-22.jpeg
C.gif "Jarbu Mambo mengi kadiri uwezavyo kwani kwa kujaribu ndivyo tunajua tunaweza au hatuwezi. Kamwe usiseme huwezi jambo kabla ya kujaribu."

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Matikiti Linafundisha ulimaji wa matikiti .
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔ Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨.
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

.

images-10.jpeg

Habari msomaji wangu…?
"Karibu sana katika Blog hii. Ninakuhakikishia kusoma posti mpya nzuri kila siku kwa hiyo endelea kutembelea Blog hii kila siku."

images-19.jpeg

Jina langu ni Melkisedeck Leon Shine Mwendeshaji wa blog hii.

Usisite kuniandikia maoni,mapendekezo au maswali hapa

Jina
Mahali ulipo
Mfano Mkoa, Wilaya n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako

KUHUSU BLOG HII | MAWASILIANO | ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES