Tafuta

πŸ‘‰ Dalili za mahusiano feki, mahusiano ya kichinaπŸ‘‡βœ”

Ukitaka kujua Simu ya Kichina utajua tu jinsi ilivyo na makelele mengiiiii sana wakati wa kuita….Sasa ukitaka kujua relationship feki ya kichina utaona tu makelele yalivyo mengi kama ile simu…Watu hawatulii kwenye wall,mara I miss my baby,mara baby come back,mara baby this,ooh my man/Girl is special,mara picha …mi and my baby,full kujishaua..ukiona wall zenye hayo makelele asilimia 90 ni penzi la kichina na lazima lina double line.Relationship serious na Original hazina makeke wala mikelele mingi kama hiyo yako na milio mikubwa ya ajabu na vibration ambazo zinaweza kufyeka hata majani.TULIA,hatuhitaji kujua who is ur baby au umemmiss,ukimmiss mpigie simu hukooo! Ebooo!!!

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Dalili za mahusiano feki, mahusiano ya kichina).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Jinsi ya Kutana na Ndugu mliopotezana Anaweza akawa na yeye anakutafuta

πŸ‘‰Jua Zaidi...


"Changamoto na ugumu wa jambo upo kwa wale wanaolifanya. Huwezi kukaa na kutazama jambo bila kulifanya na kisha kujua changamoto zake."

kj.gif

Expert available for Hire

Kutana na marafiki zako hapa Usijali wapo kwa ajili yako.
Soma%20Zaidi.gif
Jiunge na Kampeni ya kutetea wato wenye ulemavu Lengo la kampeni hii ni kuhamasisha watu wote kusaidia na kutetea watu wenye ulemavu.
Soma%20Zaidi.gif