Tafuta

.

Mtafute ndugu yako hapa Na yeye anakutafuta sana

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Angalia binadamu walivyoπŸ‘‡βœ”

Angalia Binadamu walivyo!,

"Ukitafuta sana anakuita MCHAWI,"

Ukifanikiwa sio BURE,

"Ukitulia MVIVU,",

Usipovaa vizuri MCHAFU,

Ukidili sana na masomo unajifanya MSOMI,

Usipodili nayo MJINGA,

Ukisema sana MBEA,

Ukiwa mkimya JEURI,

Ukiwasaidia watu UNATAKA SIFA,

Usipowasaidia ROHO MBAYA,

Ukiwa na kazi UNAJISIKIA,

Usipokua nayo MZEMBE.

Hivyo BINADAMU ndivyo walivyo wewe jali MAISHA YAKO TU NA MAENDELEO YAKO.

MUNGU akulinde na shari zao.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Angalia binadamu walivyo).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Marafiki-wa-enzi.GIF

.