Je, moshi ulielekea upande gani?

By, Melkisedeck Shine.

[fumbo]

Je, moshi ulielekea upande gani?

SWALI: Upepo ulikuwa unavuma sana kutoka mashariki hadi magharibi. Nilikuwa nikiliendesha gari la moshi linalotumia umeme kutoka Burundi hadi Malawi. Je, moshi ulielekea upande gani?

👉ackyshine.com/mafumbo


.

tafuta-rafiki.gif
utotoni.gif

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.