Je Juma atatumia njia gani kuvuka?

By, Melkisedeck Shine.

[fumbo]

Je Juma atatumia njia gani kuvuka?

SWALI: Juma ana vitu vitatu; mbwa, kuku na mchele anaotaka kuvusha mto. Mbwa hula kuku na kuku hula mchele. Kulingana na sheria za kuvuka daraja lile, hauwezi kuvuka ukiwa na zaidi ya vitu viwili. Je juma atatumia njia gani kuvuka?

👉ackyshine.com/mafumbo


.

picha-kali.png
KADI-MZAZI-ASUBUHI.JPG
vichekesho-bomba-vya-siku.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.