Karibu katika tovuti ya Ackyshine

Tovuti hii inatolewa kama huduma kwa uma, ipo kwa ajili ya kutoa huduma kwa uma, ambazo ni kuposti/kuandika kuhariri na kutoa maoni.

Tovuti hii inatoa huduma zake kwa kulenga nchi watumiaji wa lugha ya Kiswahili kama Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda, Burundi, Kongo n.k ambapo mtumiaji wa tovuti hii anawajibika kufuata sheria za tovuti hii na za nchi yake.

Tovuti hii ni huru (haina udini, uchama, ukabila, ubaguzi n.k) na inatoa huduma za bure kwa uma na watembeleaji wa tovuti hii ndio waandishi wakuu katika kurasa za tovuti hii. Mtu yeyote (hata wewe) anaweza kuanzisha ukurasa mpya au kuhariri kurasa nyingine

Nia kuu ya tovuti hii ni kurahisisha uandishi na usomaji wa makala za Kiwsahili, Kuwezesha utangazaji wa matangazo mbalimbali na kuburudisha. Ambapo wewe mtumiaji wa tovuti hii unasimama kama mwandishi na mhariri wa makala, mtoaji wa matangazo na msomaji wa kurasa.

Kama ukiona makala yoyote unayohisi imekopiwa mahali au ni mali yako, wasiliana nasi moja kwa moja ili tuifute au edit/Hariri kwa kuandika nukuu (Reference to original content)
Kama ukiona mada yoyote inayoenda kinyume na sheria na masharti yetu, au inayo kulenga wewe moja kwa moja bofya mahali palipoandikwa "flag as objectionable" chini ya huo ukurasa ili uutaarifu utawala wetu uchukue hatua zinazotakiwa mara moja. Tushirikiane kupambana na wavunjaji wa sheria

Uko huru kufanya/Kuandika chochote ila usivunje sheria na taratibu za tovuti hii, nchi na jamii yako


SHERIA NA MASHARTI


Unaruhusiwa kufanya yafuatayo

 1. Unaruhusiwa kuandika chochote kuhusu mada ya yoyote.
 2. Unaruhusiwa kutoa habari kama una uhakika nayo na haikiuki sheria zetu za tovuti
 3. Unaruhusiwa kuhariri mada yoyote, bila kuondoa maana yake, umuhimu na ubora wake wa awali. Ili yule atakayeisoma apate ujumbe unaotakiwa.
 4. Unaruhusiwa kujiunga au kuingia katika majadiliano mbalimbali (forum)
 5. Unaruhusiwa kutangaza matangazo ya aina yoyote kwa namna yoyote

Kwaajili ya usalama, tunarekodi IP Address ya kila mtu anayeandika katika tovuti hii kama bado hajajiunga.

Huruhusiwi kufanya yafuatayo

 1. Kuandika Mada yoyote, maneno, picha au dokumenti yoyote ambayo iko nje ya sheria ya nchi, tamaduni, maadili na Taratibu za kijamii,
 2. kuandika mada ya vitisho
 3. Kusema mtu au kitu vibaya.
 4. Kuandika mada inayochochea udini, uchama, ukabila, ubaguzi n,k
 5. Kuandika mada za chuki, uonevu, picha chafu.
 6. Kuweka link ya tovuti inayokinzana na sheria zetu hizi
 7. Kutoa Taarifa ya uongo au ambayo hujathibitisha
 8. Kutoa Taarifa inayochochea uvunjifu wa sheria
 9. Kutoa Taarifa au kazi ambayo huna kibali cha kuisambaza
 10. Kutoa Taarifa yoyote inayohusiana na matumizi ya vitu visivyoruhusiwa kisheria

Kama ukiona mada yoyote inayoenda kinyume na sheria na masharti yetu, bofya mahali palipoandikwa "flag as objectionable" chini ya huo ukurasa ili utaarifu utawala wetu uchukue hatua zinazotakiwa mara moja. Tushirikiane kupambana na wavunjifu wa sheria

Kila mwandishi wa kurasa au mtoa maoni anawajibika kwa kile anachokiandika, Tovuti hii inatoa huduma/inawezesha kuandika na kuhariri.

Disclaimer: Every user is solely responsible for anything that he/she posts or uploads.

Tovuti hii ni huru na inatoa huduma kwa uma kwa hiyo Kama ukiona makala yoyote unayohisi imekopiwa mahali/yako, wasiliana nasi au edit/Hariri kwa kuandika nukuu (Reference to original content)

Kama ukiona mada yoyote inayoenda kinyume na sheria na masharti yetu, bofya mahali palipoandikwa "flag as objectionable" chini ya huo ukurasa ili uutaarifu utawala wetu uchukue hatua zinazotakiwa mara moja. Tushirikiane kupambana na wavunjaji wa sheria

Ackyshine%20bar

Copyright © All Rights Reserved, Ackyshine. 2016.