tafuta-rafiki.gif

Moses Godwin Mussa, namtafuta Irene Jerome.


Tuliwahi kusoma pampja shule ya msingi Kigoma mjini mpaka tulipoweza kutawanyika mwaka 2009ndipo tulimaliza elimu yetu ya msingi.


Mimi ni Moses Godwin Mussa, namtafuta Irene Jerome.


Mawasiliano

Jina: Moses Godwin Mussa.

namba zangu za Simu
0766776271
0711720453.

Naishi Kigoma.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>