DAVID, namtafuta EGIDY DAVID.


namtafuta baba yangu mzazi ambaye aliondoka nyumbani akaniacha nikiwa na miaka miwili na kuamua kuondoka baada ya kuwa na ugomvi na mama yangu,,cha msingi ni mimi kuonana nae japo kidogo kwani nimekuwa mtu mzima sasa na natumaini yuko hai na pengine anafamilia


Mimi ni DAVID, namtafuta EGIDY DAVID.


Mawasiliano

Jina: DAVID.

0673712884.

MBEYA CITY.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


ml.gif