Jonas Wilsoni Mdogo, namtafuta KEDMONI SIMEONI ONESMO.


Mimi tumesoma naye tukitokea kitongoji cha MLENGA kwenda Shule ya Msingi Mbori-Mpwapwa. Alimuoa Mkewe anaitwa Selina Kwa mara ya kwanza namimi ndiye rafiki yake wa karibu ni miaka ya 1990-92 alimuoa mwanamke mwingine Mpwapwa Mjini ambaye hawakukaa naye sana wakaachana nikama mwaka 1995 kutoka hapo Kedmoni sijamtokea usoni kwangu namtafuta sana.


Mimi ni Jonas Wilsoni Mdogo, namtafuta KEDMONI SIMEONI ONESMO.


Mawasiliano

Jina: Jonas Wilsoni Mdogo.

Kama atapata ujumbe huu awasiliane namimi kwa namba ya simu 0787 052 477. 0656 756 884. kama ni ngumu aniandikie kwa barua pepe moc.liamg|ogodmsanoj#moc.liamg|ogodmsanoj.

Mlenga-Mpwapwa..Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


SALAMU-MPENZI-MCHANA-33097HG34MX.JPG