AckySHINE Kutafutana

Mahali pa kutafuta marafiki mliopotezana

HOME | WANAOTAFUTWA | WANAOTAFUTA | TOA POSTI

.

Slide3-mliopoteana.GIF

Mariam Rashid, namtafuta Anthony Ludovick Ndiyeshumba.


Tulisoma wote, shule ya msingi Chikongola, Mtwara mjini karibu na soko kuu. Nilikuwa naishi Mabatini.


Mimi ni Mariam Rashid, namtafuta Anthony Ludovick Ndiyeshumba.


Mawasiliano

Jina: Mariam Rashid.

Chuo Kikuu, Shule Kuu ya Sheria, Idara ya Sheria za Binafsi. moc.oohay|zohamkdm#moc.oohay|zohamkdm.

Mpakani Quoters, Block F.26 Udsm area, Dar es Salaam.Slide1-mabest-skull.PNG