Tafuta Marafiki Ndugu Jamaa Na Mliosoma Pamoja

Slide2-mabesti-utotoni.PNG

ISSA HAMADI ISSA, namtafuta AMIRI MKEMAE HARUNA.


Ni Mimi Rafiki Yako Issa Hamadi Tulisoma Wote Shule Ya Msingi Yombo A Wilaya Ya Ilala Mkoa Wa Dar Es Salamu.Nikahama Shule Baadae Nikaamia Shule Ya Msingi Pius Msekwa Wilaya Ya Kinondoni Na Nikamaliza Shule Ya Msingi Hapa Hapa Dar Es Salam Nikafaulu Shule Ya Kata, Shule Ya Sekondari Twiga Na Nikamaliza Kidato Cha 4 Mwaka 2010 Sasa Niko Nafanya Biashara Ndogondogo Maeneo Ya Bunju


Mimi ni ISSA HAMADI ISSA, namtafuta AMIRI MKEMAE HARUNA.


Mawasiliano

Jina: ISSA HAMADI ISSA.

0628131525.

BOKO BUNJU ~DAR ES SALAM.Tunakuwezesha kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja

Kutafuta mliopotezana

Bofya Hapa


WANAOTAFUTWA


WANAOTAFUTA


Kichekesho%20Kipya Hapa unaweza kutafuta ndugu zako Na wao wanakutafuta sanaπŸ‘‰Jua zaidi>>Kizuri
Kichekesho%20Kipya Kutana na marafiki zako wa enzi hizo hapa Wewe ni miongoni mwa rafiki yao wa kipekee sanaπŸ‘‰Jua zaidi>>Kizuri
page 1 of 8823123...88228823next »