AckySHINE Kutafutana

Mahali pa kutafuta marafiki mliopotezana

HOME | WANAOTAFUTWA | WANAOTAFUTA | TOA POSTI

.

Slide1-mabest-skull.PNG

ally msafiri na tatu msafiri, namtafuta MINZA.


tunamtafuta mama yetu mzazi anaitwa minza tuliacha miaka mingi sana iliypopita huko korogwe tanga na tukachukuliwa na baba yetu pamoja na bibi yetu kizaa baba aitwaye nyamiji(salama) kwa sasa tunaskia mama yetu huyo ana mtoto anaitwa hussein


Mimi ni ally msafiri na tatu msafiri, namtafuta MINZA.


Mawasiliano

Jina: ally msafiri na tatu msafiri.

0758707837,0752553926.

mara-bunda-kisorya.kj.gif