rafiki.gif

Saidi Bakari, namtafuta .


Mimi Saidi Bakari Nisikunyingi sana hatujaonana toka tumalize Shule sijajua kwasasa uko waopi.Tumesoma Shule moja ya msingi Rundugai.Nia yangu nikutaka kujua umzima hofu yangu ni kupotezana kipindi kirefu


Mimi ni Saidi Bakari, namtafuta .


Mawasiliano

Jina: Saidi Bakari.

Emanuel John.

Mimi Saidi Bakari napatikana Dar es Salaam Tanzania.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>