Deborah George Godda, namtafuta Revocatus John Missana.


Mimi ni mtoto wako ulienizaa na mwanamke anaitwa Aglibertha A. Wegoro. kijiji cha Murutunguru Mwanza Ukerewe Mwaka 1970.


Mimi ni Deborah George Godda, namtafuta Revocatus John Missana.


Mawasiliano

Jina: Deborah George Godda.

0755777219.

Arusha..

Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


UJUMBE-WA-ZA-JIONI-KWA-NDUGU.JPG

.