Kupata Marafiki Wa Zamani

Tunakuwezesha kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja

Kutafuta mliopotezana

Bofya Hapa

Slide3-mabestimliopotezana.PNG

Bilali Juma Hasan Au Mula, namtafuta Nice Ndugu Yake Na Kiba.


Mimi Nilikua Naish Marangu Mtaa Wa Capricon/hotel Nilikua Na Mchumba Anaitwa Nice Nilimpenda Sana Japo Kipind Hcho Nilikua Mdogo Nilikua Sijui Kupenda Vizur Lakn Baadae Ilitokea Kwamb Rafk Yangu Alinishawish Nikakosana Na Mpenz Wangu Aliekua Anaitwa Nice Namtafuta Sana Namba Yangu N 0763789074 Plz Nice Nisamehe


Mimi ni Bilali Juma Hasan Au Mula, namtafuta Nice Ndugu Yake Na Kiba.


Mawasiliano

Jina: Bilali Juma Hasan Au Mula.

Piga Hii Namba0763789074.

Kwa Sasa Nipo Mosh Vijijin Kijij Cha Mamba Mtaa Wa Komakundi.Ndugu.gif

WANAOTAFUTWA


WANAOTAFUTA


Kichekesho%20Kipya Njia nzuri za kutafuta Mabesti mliopotezana Anaweza akawa na yeye anakutafuta πŸ‘‰Jua zaidi>>Kizuri
page 1 of 8907123...89068907next »