Tatizo Marazi, namtafuta Marazi.


Namtafuta Baba Yangu Anaitwa Marazi Nimepoteanae Tangu Mwaka 1987 Uko Wame Dakawa Mkoani Morogoro Naomba Yeyote Anaemjua Uyu Mzee Anitalifu Upitia Ukurasa Uhu Kabira Mnyachusa Asanteni


Mimi ni Tatizo Marazi, namtafuta Marazi.


Mawasiliano

Jina: Tatizo Marazi.

Tuasiliane Kwe Ukurasa Uhu.

Mimi Kwa Sasa Nipo Dsm.



Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


tafuta-ndugu.gif