Tito audifasi swai, namtafuta Adriani Bernard swai .


Namtafuta kaka angu mtoto wa baba mkubwa mwaka miaka kumi sasa hatujui slip mama mkubwa alifariki ila ata hajui Kama mama amefariki


Mimi ni Tito audifasi swai, namtafuta Adriani Bernard swai .


Mawasiliano

Jina: Tito audifasi swai.

Me nipo dar anaeza kunipata kwa mawasiliano ya cm au facebook Donny a swai pia instagram Donny a sway.

Nipo mwananyamala ujiji..

Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


UJUMBE-WA-MCHANA-KWA-NDUGU.JPG

.