Tafuta

AckySHINE Kutafutana

Mahali pa kutafuta marafiki mliopotezana

HOME | WANAOTAFUTWA | WANAOTAFUTA | TOA POSTI

.

Tunakuwezesha kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


ndugu.gif

Abdalla Mbwana Ali, namtafuta Sharifa Hassan Ali.


Tulisoma wote Vikokotoni Sec. School Zanzibar mwaka 1996-1997 kidato cha 3 na 4.


Mimi ni Abdalla Mbwana Ali, namtafuta Sharifa Hassan Ali.


Mawasiliano

Jina: Abdalla Mbwana Ali.

Anitafute kwenye cmu namba 0778356003 au 0773757844.

Pemba - Zanzibar.Slide3-mliopoteana.GIF

WANAOTAFUTWA