JESTINA BENARD MWAMPOTE, namtafuta BENARD MWAMPOTE.


NAITWA JESTINA BENARD MWAMPOTE NILIZALIWA MKOA WA KILIMANJARO MOSHI NA MAMA YANGU ANAITWA MESIA KANZA BABA YANGU ANAITWA BENARD MWAMPOTE ILA TOKA NIMEZALIWA SIJAWAHI KUMUONA BABA YANGU KWA MAELEZO YA MAMA WALIKUTANA NA BABA WAKATI MAMA AKIWA ANAISHI MOSHI MJINI KWA MZEE LUKAS TARIMO NA BABA YAKE NA BABA YANGU NDO ALIKUWA RAFIKI NA MZEE TARIMO HIVO MWANAYE AMBAYE NDO BABA YANGU ALIKUJA PALE KWA MZEE TARIMO KWA AJILI YA KUSOMA MAWENZI SECONDARI MIAKA YA 1989 NDO KUZALIWA KWANGU HIVYO BASI NAOMBA KAMA BABA YUPO AJUE NAMTAFUTA AU KAMA KUNA MTU YOYOTE MWENYE TAARIFA ZAKE AMWAMBIE NAMTAFUTA. TUWASILIANE KWA NAMBA ZA SIMU 0658751148/0716039913


Mimi ni JESTINA BENARD MWAMPOTE, namtafuta BENARD MWAMPOTE.


Mawasiliano

Jina: JESTINA BENARD MWAMPOTE.

0658751148/0716039913. moc.oohay|dranebanitsej#moc.oohay|dranebanitsej/moc.oohay|knarfikahzi#moc.oohay|knarfikahzi.

dodoma tanzania..

Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


tafuta-ndugu.gif

.