Remijo Mpagama, namtafuta Editha Mapalala.


Naitwa Remijo Mpagama, tulisoma wote chuo cha kilimo Nyegezi. Mimi nilikuwa nasoma Diploma ya Agro mechanization wewe ukisoma Satifikate ya kilimo na mifugo(CALP) nilimaliza Diploma hapo chuoni mwaka 1994 toka wakati huo hatujawahi onana. Kwa sasa nipo Morogoro.


Mimi ni Remijo Mpagama, namtafuta Editha Mapalala.


Mawasiliano

Jina: Remijo Mpagama.

Mobil: +255787441226/+255755954814
Email: ku.oc.oohay|nhojsujim#ku.oc.oohay|nhojsujim.

Morogoro mjini..

Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


KADI-MZAZI-ASUBUHI.JPG

.