Hasina Abdullah Said, namtafuta Zainab Mohd.

Mimi ni mdogo wake kutoka znz ambae tulipoteana na yy baada ya ya yeye kwenda kumuuguza mama yake dar na pia nakupa taarifa kwamba bibi alifariki mwaka mmoja baada ya mjomba abuu kufariki na jengne jipya kwamba nimeolewa na mwanaume ambaye ulikuwa unapenda sana niwe nae karibu na huu ni mwaka wa tano toka tufunge ndoa na kwa sote mm na mume wangu Hamad tunakutafuta tena sana na amini unanikumbuka.

Mimi ni Hasina Abdullah Said, namtafuta Zainab Mohd.

Mawasiliano

Jina: Hasina Abdullah Said.

0779545454/0778898989
0714250225.

znz kianga..

Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>

Slide3-mliopoteana.GIF

.

Makala nyingine za Kutafutana;
a.gif Ndugu: david lemomo Anamtafuta jeff,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta eliza simime,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: maria omary mohamedy Anamtafuta husna twaibu,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: maria omary mohamedy Anamtafuta husna twaibu,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Ezekiel amo mwasalama Anamtafuta Esta julias swenya,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...