Tafuta

AckySHINE Kutafutana

Mahali pa kutafuta marafiki mliopotezana

HOME | WANAOTAFUTWA | WANAOTAFUTA | TOA POSTI

.

Tunakuwezesha kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


Marafiki-wa-enzi.GIF

salvatory mgimwa, namtafuta Steven choga,Richard Lyuvale,Emeran Goliama.


mimi nimelelewa mission Lyasa.Kipindi nalelewa nilikuwa chini ya padri Modestus mbwelwa na masista wa shirika la mt.Teresia wa mtoto Yesu jimbo la Iringa.Nimekaa Ilole iringa-ustawi wa jamii.Kwasasa niko mafinga.


Mimi ni salvatory mgimwa, namtafuta Steven choga,Richard Lyuvale,Emeran Goliama.


Mawasiliano

Jina: salvatory mgimwa.

0746229446.

mafinga.