othman kasimu , namtafuta ukoo wa mzee luoga wa njombe ..mm huko sipajui.


Natafuta ukoo wa mzee luoga wa njombe … mm ni mtoto wa mwanae ambaye alitoka njombe hadi bara kwenye mkonge na bahati nzuri akapata mke na wamezaa watoto walili mmoja apo ni mm hapa..


Mimi ni othman kasimu , namtafuta ukoo wa mzee luoga wa njombe ..mm huko sipajui.


Mawasiliano

Jina: othman kasimu .

0678 72 73 01 niko online muda wote …

niko dar esalaam …tanzania.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


Marafiki-wa-enzi.GIF