Tafuta

AckySHINE Kutafutana

Mahali pa kutafuta marafiki mliopotezana

HOME | WANAOTAFUTWA | WANAOTAFUTA | TOA POSTI

.

Tunakuwezesha kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


Ndugu.gif

mick mwambene, namtafuta Catherine Gabriel Killo.


Catherine Mimi mick wa yombo vituka kiembe samaki najua ukiona hivi utanikumbuka nimekutafuta kila njia nimekukosa mpaka nimeamua kutuma njia hii bado nakupenda na nakuhitaji pia pamoja na yote nimeachilia yote


Mimi ni mick mwambene, namtafuta Catherine Gabriel Killo.


Mawasiliano

Jina: mick mwambene.

0754257617.

yombo vituka kiembe samaki.