geofrey gerald ligombi, namtafuta Maria grasiano ligombi.


tulipotezana 1993 baba yetu aliachana na mama yake kuelekea dar kwa bibi yake akiwa na miaka2.hivyo mm ni kaka yake ninamtafuta sana baba yetu ni mmoja na alishafariki 1998.


Mimi ni geofrey gerald ligombi, namtafuta Maria grasiano ligombi.


Mawasiliano

Jina: geofrey gerald ligombi.

mwanamke.

darsalaam.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


mtu.gif