Mohamed Pawaga Joseph, namtafuta Pawaga : Nyamiaga Magarande Joseph .


mimi namtafuta baba yangu mzazi kwani alikujaga mkowa wa kigoma katika wilaya ya Uvinza ikiwa enzi hizo ni kijiji alikuja kwa shughuli zake za kikazi akiwa ame tokea mkoani iringa nakuja kigoma kwani haya yote ana nisimuliaga mama yangu mzazi kuwa baba ali muacha mama yangu akiwa nimjamzito yeye akawa ame toweka pale kijijini uvinza nakwenda iringa ambako mama ana sema ndipo kwao hivyo mpaka mimi mtoto nilizaliwa na mama mwaka 1997 mpaka sasa sija wai kumuona baba bali nili ambulia picha alizo kuwa kaziacha nyumban nikiwa mimi tumboni kwa mama yangu mzazi ikiwa kutoka mwaka 1997 mpka sasa mwaka 2018 nime fikisha miaka 21 nakutafuta baba yangu mzazi japo uli mwaacha mama mimi huku sija zaliwa kumbuka mimi ni mtoto wako uliachaga damu kigoma ambaye nimimi niitwaye Mohamed Pawaga Joseph Utajiuliza kwa nini nime tumia majina hayo kwa sababu ya mimi kuanzishwa shule nika takiwa kuandikishwa majina hayo sababu mama ali kuwa aja tambuwa vizuli wasifu wako wajina yote bali yeye alicho kumbuka ni jina ulilo kuwa uki litumia kwenye gari laka pamoja na jina ulipo tokea katika kijiji chenu Pawaga hivyo basi nami nika pewa jina la babu Mohamed pamoja na majina yako hayo mawili Pawaga joseph -ila pia ilisemekana kuwa ww ni mkristo unaye itwa joseph pia nalo ilo nika pewa mimi nikawa Mohamed pawaga joseph na hukoo wako Magarande kutoka iriga nihayo tu baba ninakutafuta mimi mwanao


Mimi ni Mohamed Pawaga Joseph, namtafuta Pawaga : Nyamiaga Magarande Joseph .


Mawasiliano

Jina: Mohamed Pawaga Joseph.

Ani tafute kwa number 0652271096
Pia FB naitwa MeddyPo
Email:moc.liamg|79agawapdemahom#moc.liamg|79agawapdemahom.

nilipo kwa sasa ni jijini Dar es salaam wilaya ya Temeke kataa ya Miburani mtaa wa Keko Machungwa Naishi kwa mama yangu Mkubwa..

Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


MLO-MWEMA-KWA-NDUGU-UJUMBE.JPG

.

Makala nyingine za Kutafutana;
a.gif Ndugu: samith hasan Anamtafuta Rahma Amood ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: lydiah nafula Anamtafuta peter xhisoka,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: JACKSON OSWARD Anamtafuta marafiki,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: jamila issa ada Anamtafuta juliana paul,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Mwanaume mwema Anamtafuta Neema, Happy, Jane, Iren nk.,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: RENATUS ALPHONCE KASSIAN Anamtafuta Anjela(Angel),πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Steven Edward Lyoba Anamtafuta Mariam Adbalh,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...