Tafuta

AckySHINE Kutafutana

Mahali pa kutafuta marafiki mliopotezana

HOME | WANAOTAFUTWA | WANAOTAFUTA | TOA POSTI

.

Tunakuwezesha kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


tafuta-rafiki.gif

Moze Kipemba , namtafuta NUSURA HB MWANGA.


Tulisoma wote Iguguno Shule ya Msingi, wilaya ya Iramba, Mkoa Singida na tulimaliza 2001


Mimi ni Moze Kipemba , namtafuta NUSURA HB MWANGA.


Mawasiliano

Jina: Moze Kipemba .

Anitafute Facebook Moza Mussa.

Kigamboni, Dar Es salaam .