Maria james magasta, namtafuta Andrew muze.


Tulikutana shule moja inaitwa parane ipo moshi,nikiwa form one Yeye form two….wote tulikua tonatokea dar es salama Yeye akiishi maeneo ya uwanja wa ndege (karakata) mimi nikiwahi kizito nyama magorofani.


Mimi ni Maria james magasta, namtafuta Andrew muze.


Mawasiliano

Jina: Maria james magasta.

No. Ya simu 0654115130.

Kibaha kwa mathius.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


tafuta-ndugu.gif