Consolata ally abdalla mpai, namtafuta Ally abdallah Mpai.


Ni mtoto namtafuta baba anaitwa ally Abdallah mpai walikutana na mama moshi kiboriloni miaka 89 baba ake mama anaitwa mzee festo alikuwa mfuga ngurue maeneo ya mto rau au mji mpya moshi..niliambiwa ukoo wake ni mpai wenyeji wa singida nimemtafuta miaka kumi kama kuna mtu yoyote tu wa ukoo wa mpai anitafute mimi ni binti yenu


Mimi ni Consolata ally abdalla mpai, namtafuta Ally abdallah Mpai.


Mawasiliano

Jina: Consolata ally abdalla mpai.

0762264058.

Dar es Salaam ..

Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


UJUMBE-WA-SHUKRANI-KWA-NDUGU.JPG

.

Makala nyingine za Kutafutana;
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: khator omar hamad Anamtafuta kassim mbaraka,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: David George Anamtafuta Mariam Mohamed,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: geofray Anamtafuta jack,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta SALI LUSHONA,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: HASANI,SAMWEL,MWAKALANJE Anamtafuta PRICKA,HEZLONI,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Konsolata Michael Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Kabwogi K Kashumba Anamtafuta Asia Mohamed,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...