Naitwa. Mwasiti Juma Hasan , namtafuta Zubeda Juma au mama darudaru .


Na mtafuta Dada ngang mm simfaham wala yeye anfaham ila kabla baba ajafa alifuambia kunadada yenu kwamba irivikua mpaka kupotezana na baba n mtoto baba yetu aliachana na mama yeke dada etu uyo naemtafuta leo mama uyo akawa kamtelekeza mtt bs ikabidi baba muoe mama yang ili aje kulea mtoto bs mama yang alipofika akafikia mimba ikabidi baba amchukue Dada yetu uyo kupeleka kijijin kwao baba kwamashagaz akalelew uko bs baada miyka 2 mama yaku akashika mimba yang ikabid baba akamchue dada kijijin ili awe nacheza namtt uyu wmiaka miwel apo mama anamimba yang bs mama yake Dada yangu uyo alikua mfipoa mtu wasimba wanga baba alikua anaishi kgoma bs mama yule alipo. Posikia mwanee yupo apo mjin baba kamreta akaja kumuiba mwanae uyo dada yang bas baba akadai mtt mpka mama take dada yang alikua anaitwa Erena jama ulikua mwka 2000 tulipata salam zake kuwa yupo anaishi kngambon mala anauza kariakoo shimon mwaka jana tumepata Sam zake ypo mtongan mm n dogo wake namtafuta


Mimi ni Naitwa. Mwasiti Juma Hasan , namtafuta Zubeda Juma au mama darudaru .


Mawasiliano

Jina: Naitwa. Mwasiti Juma Hasan .

.

..

Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


UJUMBE-UNAVYOMMISI-NDUGU.JPG

.

Makala nyingine za Kutafutana;
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: aksaf abdirashid bulle Anamtafuta samuel otengo,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Amos mwita nyaikongoro Anamtafuta AISHA MUSA NA AGINES SHABAN,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Lekitonyi tumbaa Anamtafuta Lekitonyi tumbaa,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Anamtafuta ,πŸ‘‰ soma zaidi hapa...
a.gif Ndugu: Abdallah Salim Kassim Anamtafuta Seif Masoud Abdallah ( Shaibu ),πŸ‘‰ soma zaidi hapa...