Clement muniko, namtafuta Yohana m nyamwondow au mzee John.


Namtafura rafiki yangu yohana nyamwondow tulifahamiana naye tukiwa south africa tukawa pamona kwa karibu miaka kumi.tulikuwa tukimwita mzee john.
Wote tulirudi bongo mara ya mwisho tuliwasiliana mwaka 2013 mwanzoni akiwa nyumbani kwake sinza na nyumbani kwake nilikuwa sijafika ndo nikapoteza namba yake


Mimi ni Clement muniko, namtafuta Yohana m nyamwondow au mzee John.


Mawasiliano

Jina: Clement muniko.

O766373888 au e-mail moc.liamg|namegnimig#moc.liamg|namegnimig.

Tundumma songwe tanzania.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


UJUMBE-MWAKA-MPYAAA.JPG