Petronila tadei mmasi, namtafuta Huruma/ANJELKA Molel.


Mm naishi arusha Usa River nimepiteana na rafiki yangu tuliesoma naye Qt Olorieni Moshono mwaka 2014 ..nilimchukua tukawa tunaishi naye nyumbn kwetu usa mm nilipoondoka nikaenda shule Dar ..niliporudi sikumkuta anaitwa HURUMA/ANJELKA MOLEL huyu ni mmasai wa NYUMBA ya mungu …namuomba popote alipo anitafute kwa no 0629 815280…nampenda sana na ninamuhitaji sana ni zaidi ya rafiki


Mimi ni Petronila tadei mmasi, namtafuta Huruma/ANJELKA Molel.


Mawasiliano

Jina: Petronila tadei mmasi.

0629 815280.

Dar es salaam..

Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


UJUMBE-WA-ZA-JIONI-KWA-NDUGU.JPG

.