Charles William Mngwira, namtafuta Amali Njovu na Rahma Njovu.


Tuliishi wote mtaa wa National Housing Tunduru Ruvuma. Baba yangu alikuwa dereva alikuwa anaitwa baba bite, na baba yao alikuwa anafanya kazi Hazina wakahama baadae.


Mimi ni Charles William Mngwira, namtafuta Amali Njovu na Rahma Njovu.


Mawasiliano

Jina: Charles William Mngwira.

Simu
0786078249/0717375005/0624006272
Email. moc.liamg|51ylliwesrahc#moc.liamg|51ylliwesrahc.

Dar es salaam.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


Slide3-mliopoteana.GIF